Serikali ifanye uhakiki kwenye Shule za English medium huko ndio jiko la kuwavua uzalendo vijana

Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.

Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.

Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251126_052823_0000.png
 
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.

Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.

Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Hawafundishwi nje ya mtaala wa nchi

Hiki ulichoandika ni ulimbukwni upumbav usio na maana

Hao watoto wa viongoz ndio hao wamejaa english mediums na international schools
 
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.

Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.

Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Uzalendo wa kuua raia wa nchi? Huo si uzalendo, ni ugaidi!!
 
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.

Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.

Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Wewe fala utakuwa ni mzee wa mwaka 47. Una pigo za kijima sana
 
Back
Top Bottom