Mbona unaandika tu kama mjinga .Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu?
Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi.
Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Jitahidi usioneshe ujinga wako hadharaniInawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Hivi English media wanajua hata kuimba wimbo wa taifa?Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Hiyo ni sawa useme mkapa alyekuwa kigogo wakati wa nyerere hakuwa na cha kuwaeleza watoto wa 70/80Kitu msichotaka Kukubaliana nacho ni kuwa nyakati na watu wanabadilika, Leo wasira aliyewahi Kuwa RC wakati wa zama za Nyerere atawaeleza Nini Gen z sasa?
Nyie washauri wa hovyo kabisa.Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Nyumba na huyu ni baba daaah! qumame hii nchi ngumu sanaU
Jitahidi usioneshe ujinga wako hadharani
Watu dizaini ya Wasira wamejawa na Viburi sana na ndio wanafanya Vijana waone Hawa wazee kwanini hawapumziki kupisha wengine Wana uchu na madaraka as if wao ni familia za Wafalme.Hiyo ni sawa useme mkapa alyekuwa kigogo wakati wa nyerere hakuwa na cha kuwaeleza watoto wa 70/80
Wanajua kuimba Mungu ibariki?Nyie washauri wa hovyo kabisa.
Shule binafsi za EM zinafundisha masomo yaliyopo kwenye mtaala ulio andaliwa na serikali.
Tunasomesha watoto hizo shule na maafisa elimu tunajua ukweli.
Huko hawafundishi nje ya mtaala.
Vitabu vyote wanavyotumia lazima vipewe ithibati na taasisi ya elimu.
Ukianza kukataa ukweli let uqanza kusingizia vitu vya uongo.
Wasira kazi yake siasa,teuzi zake ni CCMWatu dizaini ya Wasira wamejawa na Viburi sana na ndio wanafanya Vijana waone Hawa wazee kwanini hawapumziki kupisha wengine Wana uchu na madaraka as if wao ni familia za Wafalme.
Unaongea kama Boko Haram.Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Tafuta hela usomeshe watoto acha wivu wa kike. Kenge wewe.Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.