iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,418
- 2,758
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Wajue ili iweje? Watoto wa viongozi wakijua inatosha.Hivi English media wanajua hata kuimba wimbo wa taifa?
Ndiyo wanajua.Wanajua kuimba Mungu ibariki?
Hawafundishwi nje ya mtaala wa nchiInawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Uzalendo wa kuua raia wa nchi? Huo si uzalendo, ni ugaidi!!Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Wewe fala utakuwa ni mzee wa mwaka 47. Una pigo za kijima sanaInawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu.
Wizara ya Elimu ifanye tathmini ya kina na ije na muongozo wa idadi inayotakiwa katika shule x ya walimu kutoka nje ya nchi. Hata kwenye football kuna kanuni ya wachezaji wa ndani na nje.
Shule zote za EM uwimbo wa taifa unaimbwa na kufundishwa.Wanajua kuimba Mungu ibariki?
Huyu mzee kachoka mbaya anasubiri kufa tu...Leo wasira aliyewahi Kuwa RC wakati wa zama za Nyerere atawaeleza Nini Gen z sasa?