Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

Waungwana hizi ni biashara za watu na inawezekana kabisa hao watu wakawa ni vigogo wakubwa ambao hawagusiki kirahis.

Acha tuenjoy mana kuna wadada wanaringaga sana mwisho wa siku tunawaona kwa Porn Video local blogs au channels.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiseme vijana tu mbona hata sisi wazee tunapitapita kutazama.

Ifunge kwa faida ya watu wote.
Huyu mzee mwenzenu anazeeka na upumbavu wake wakati hapa Mimi kitaani naingiza pesa ya kuwa download picha hizo wazee wa huku tena wananiita power bank


Kweli nimeamini ukiwa mnafki wakati was ujana ukizeeka unakuwa mchawi
 
Brother,
All of these evils are associated with A New World Order.
The best way is to start with a man in the mirror.
Keep faithful, keep praying.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hebu weka hizo websites hapa tuone kama kweli zinaharibu vijana wetu.
 
Dah kweli Tena sasahivi wote wako kitaa kwa likizo ya corona ni mwendo wa ponypony
 
Wafungie na miziki ya bongo fleva inayo hubiri ngono. La sivyo kujisumbua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…