Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

Mzee mmoja tulikutana ofisi za serikali kila mtu na harakati zake basi mzee aka nipatia simu yake nmerebishie ringtone sijui kiherehere gani kiliniingia nikajikuta nme fungua chrome history asiee nlitubu yule dingi ni mwamba wa kasikazini[emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee mwenzenu anazeeka na upumbavu wake wakati hapa Mimi kitaani naingiza pesa ya kuwa download picha hizo wazee wa huku tena wananiita power bank


Kweli nimeamini ukiwa mnafki wakati was ujana ukizeeka unakuwa mchawi
Bro humuogopi hata Mungu kuwatengenezea njia wenzio za kufanya dhambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeeh bro fungukaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
da msister mmoja namheshim sna kwanza nikam maza tu daa sema anatatizo haongei flesh ni kama kigugumiz ivi ndo alivo sasa alikuja hom sasa mm nimetuli niko zang jf napitia pitia mara akaja anataka nimfungulie facebook nikafungua sasa akawa anaonaesha ishara flan ivi alafu ananoonesha operamin browser mm nikawa simuelewi kabisa sasa akawa anagusa ile google bale alafu ananionesha ishara ile ya ungono ngono kwa kutumia mkono nadha mnaifaham yan kugungua anacho kitaka uwez amin mikono ikaanza kutetemeka daaa ananiuliza ww kwenye sim yako hunaa ?
ahh nikasema kimoyo moyo shetani fundi
kuhakikisha ilo labda nimemsikia vibaya kufungua history ya opera duu izo links duu alokuwa hana bando nikamwambia huna bando au limeisha .nikaona nimsave tu aondoke nikashika liteyangu nikafungua link moja ivi maarufu nikamuonesha ndo hii daa alifuhar sana naona na quality ya browser kali apo natetemeka acha nikamuwashia hospot nikamdawlodia kama 8 ivi akaondoka nokajiis kama nimepata stroke dunia ww apana
 
Wakuu.

Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani.

Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie unaenda jumba la sinema unaangalia. Kutokana mabadiliko ya sayansi na teknolojia leo picha hizi zipo bure kabisa mtandaoni, watu wakisuuza macho na kufurahia kutazama picha chafu hizo.

Kutokana vijana kushindwa kuchuja wanavoviona wao wanaamua kuiga mambo yote na matokeo yake ufirauni umekithiri katika jamii na maadili yanaporomoka kwa kasi.

Tuungane kukemeea huu ujinga, yule anayeangalia anashusha utu wake, wale wacheza filamu hizo wengi wapo katika stress kubwa huishia kutumia madawa ya kulevya hata kujiua.Nashauri serikali ifungie tovuti hizi za ngono ili kunusuru kizazi hiki.

Mwisho
Naunga mkono hoja.
 
Mbona jana nimeangalia sana na kupiga Nyeto goli tatu,hata SAA hivi naangalia ,nyie mnatembelea website uchwara tatizo
 
Back
Top Bottom