Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

Cha kusikitisha ni kwamba serikali yetu ipo nyuma kiteknolojia yaani raia wapo mbele kushinda serikali yao hahahaha...ndio maana hata mama samia aliiambia benk kuu ianze kukuweka sawa juu ya sarafu ya mtandaon. Inamaana watendaji wa benk walijua hawajui maswala ya sarafu ya mtandaoni lkn raia wake walianza kitambo tu kucheza na sarafu hiyo.

Hata hili la kufungia mitandao ya ngono ni kujifurahisha tu maana watu bado wanaendelea kutazama Kama kawaida [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaani unawafungia panya na mahindi kwenye ghala lafu unatoka unadunda eti mahindi Sasa yapo salama .

Poor tz
 
Pilau limewafanyaje bando si letu unatununulia sisi ndo tutaamua kumake pilau masala au laah tusipangiane
 
Back
Top Bottom