Serikali ifute somo la historia mashuleni libakie kama somo kwa wanaosomea mambo ya mortuary

Hakika nimeomini ww mjinga....akili yako fupi sana....anyway ngoja tukusaidie

Umuhimu wa somo la historia ni kwamba hichi kizazi kilichopo sasa.... kinapaswa kujua kilikotoka....challenges ambazo babu zao walipitia...

kwenye maswala ya kiuchumi,kijamii nk...wanajitazama wapo wp!? wanarekebisha mapungufu....
wanaproject future....next time kabla hujapost kitu...kaulize hata kwa balozi wa nyumba 10/10, kama uzi wako una mashiko naamini utasaidika
 
Ajili nyingine. Hivi unawezaje kufikiri bila ya ubongo
 
Ivi unaelewa physics chemistry ni maendelezo waHostory sasa unadhan pasipo history yaan kumbukimbu ya walio tangulia kungekua na utengenezajo magari na vitu vingine
 
Somo la historia lifutwe mashuleni linapotezea muda watoto kusoma mambo ya maana
Somo utadhani mko makaburini kutwa mtu unasomeshwa habari za marehemu.

Mwalimu wa historia anakuja ohh Leo tunajifunza habari za marehemu chifu Mangungo, siku ingine marehemu Mkwawa, kesho tunasoma habari za marehemu kinjekitile, siku ingine tunasoma habari za marehemu Hitler, siku ingine tunasoma habari za marehemu Nyerere, Karume au marehemu Mandela

Yaani mtu darasani hadi nywele zinasimama kwa woga utadhani mko makaburini

Hilo somo lifutwe mashuleni liwe linafundishwa tu kwa wafanyakazi wa mortuary na MC wa misibani wanaosoma wasifu wa marehemu
Eti huyu kenge ni thinktank wa Lumumba. Bichwa tupu kabisa
 
Labda historia ya CCM. Mimi nimesoma historia ninaona yanaongelewa matukio. Hakuna mahali wanaongelewa marehemu au wasifu wa marehemu.
Na wewe usiwe mwongo, wanaoongelewa wakati huo wa nyuma bado wanaishi?
 
Somo la historia lifutwe mashuleni linapotezea muda watoto kusoma mambo ya maana
Somo utadhani mko makaburini kutwa mtu unasomeshwa habari za marehemu.

Mwalimu wa historia anakuja ohh Leo tunajifunza habari za marehemu chifu Mangungo, siku ingine marehemu Mkwawa, kesho tunasoma habari za marehemu kinjekitile, siku ingine tunasoma habari za marehemu Hitler, siku ingine tunasoma habari za marehemu Nyerere, Karume au marehemu Mandela

Yaani mtu darasani hadi nywele zinasimama kwa woga utadhani mko makaburini

Hilo somo lifutwe mashuleni liwe linafundishwa tu kwa wafanyakazi wa mortuary na MC wa misibani wanaosoma wasifu wa marehemu
Kwahiyo ukiambiwa habari za vita na vurugu za Mashariki ya kati tokea zilipoanzia ni Habari za marehemu,Ukiambiwa ilipoanzia Jamiiforums nayo ni habari ya marehemu,Ukifundishwa kuvaa suruali chini ya makalio ni habari za marehemu,Ukiambiwa Ulizaliwa Chini ya mwembe wewe ni marehemu ,Ukiambiwa ulichelewa sana kujua kuandika wewe ni marehemu, Ukiambiwa umelelewa na single mother wewe ni marehemu,We we ulianza kuliwa tokea shule wewe ni marehemu,Ohh shit .Watoto mliozaliwa mji ambao hauna baba nidhamu mbovu sana.
 
Kama alioa mwaka 2017 tayari ni marehemu. CCM wameandaa kizazi cha wapumbavu sana.
 
Ivi unaelewa physics chemistry ni maendelezo waHostory sasa unadhan pasipo history yaan kumbukimbu ya walio tangulia kungekua na utengenezajo magari na vitu vingine
Hata jambo lililotukia jana, tayari limeingia kwenye historia. Hata kama haitaandikwa popote. Hizo wanazoandika wanaotumwa na CCM ndizo wanalundika marehemu wanasiasa tu. Hutawakuta wanasanaa wala wanasayansi, wala madaktari, wala waimbaji, wala wanariadha, bali wanasiasa wakiongozwa na marehemu wanasiasa akina Nyerere tu.

Shame on CCM
 
Back
Top Bottom