secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Eti huyu kenge ni thinktank wa Lumumba. Bichwa tupu kabisaSomo la historia lifutwe mashuleni linapotezea muda watoto kusoma mambo ya maana
Somo utadhani mko makaburini kutwa mtu unasomeshwa habari za marehemu.
Mwalimu wa historia anakuja ohh Leo tunajifunza habari za marehemu chifu Mangungo, siku ingine marehemu Mkwawa, kesho tunasoma habari za marehemu kinjekitile, siku ingine tunasoma habari za marehemu Hitler, siku ingine tunasoma habari za marehemu Nyerere, Karume au marehemu Mandela
Yaani mtu darasani hadi nywele zinasimama kwa woga utadhani mko makaburini
Hilo somo lifutwe mashuleni liwe linafundishwa tu kwa wafanyakazi wa mortuary na MC wa misibani wanaosoma wasifu wa marehemu
Na wewe usiwe mwongo, wanaoongelewa wakati huo wa nyuma bado wanaishi?Labda historia ya CCM. Mimi nimesoma historia ninaona yanaongelewa matukio. Hakuna mahali wanaongelewa marehemu au wasifu wa marehemu.
Kwahiyo ukiambiwa habari za vita na vurugu za Mashariki ya kati tokea zilipoanzia ni Habari za marehemu,Ukiambiwa ilipoanzia Jamiiforums nayo ni habari ya marehemu,Ukifundishwa kuvaa suruali chini ya makalio ni habari za marehemu,Ukiambiwa Ulizaliwa Chini ya mwembe wewe ni marehemu ,Ukiambiwa ulichelewa sana kujua kuandika wewe ni marehemu, Ukiambiwa umelelewa na single mother wewe ni marehemu,We we ulianza kuliwa tokea shule wewe ni marehemu,Ohh shit .Watoto mliozaliwa mji ambao hauna baba nidhamu mbovu sana.Somo la historia lifutwe mashuleni linapotezea muda watoto kusoma mambo ya maana
Somo utadhani mko makaburini kutwa mtu unasomeshwa habari za marehemu.
Mwalimu wa historia anakuja ohh Leo tunajifunza habari za marehemu chifu Mangungo, siku ingine marehemu Mkwawa, kesho tunasoma habari za marehemu kinjekitile, siku ingine tunasoma habari za marehemu Hitler, siku ingine tunasoma habari za marehemu Nyerere, Karume au marehemu Mandela
Yaani mtu darasani hadi nywele zinasimama kwa woga utadhani mko makaburini
Hilo somo lifutwe mashuleni liwe linafundishwa tu kwa wafanyakazi wa mortuary na MC wa misibani wanaosoma wasifu wa marehemu
Kama alioa mwaka 2017 tayari ni marehemu. CCM wameandaa kizazi cha wapumbavu sana.Kwahiyo ukiambiwa habari za vita na vurugu za Mashariki ya kati tokea zilipoanzia ni Habari za marehemu,Ukiambiwa ilipoanzia Jamiiforums nayo ni habari ya marehemu,Ukifundishwa kuvaa suruali chini ya makalio ni habari za marehemu,Ukiambiwa Ulizaliwa Chini ya mwembe wewe ni marehemu ,Ukiambiwa ulichelewa sana kujua kuandika wewe ni marehemu, Ukiambiwa umelelewa na single mother wewe ni marehemu,We we ulianza kuliwa tokea shule wewe ni marehemu,Ohh shit .Watoto mliozaliwa mji ambao hauna baba nidhamu mbovu sana.
Tatizo mnasoma mitaala ya Serikali ya CCM. Nunua vitabu vya nje huko uone kama wanaongelea marehemu.Na wewe usiwe mwongo, wanaoongelewa wakati huo wa nyuma bado wanaishi?
Hata jambo lililotukia jana, tayari limeingia kwenye historia. Hata kama haitaandikwa popote. Hizo wanazoandika wanaotumwa na CCM ndizo wanalundika marehemu wanasiasa tu. Hutawakuta wanasanaa wala wanasayansi, wala madaktari, wala waimbaji, wala wanariadha, bali wanasiasa wakiongozwa na marehemu wanasiasa akina Nyerere tu.Ivi unaelewa physics chemistry ni maendelezo waHostory sasa unadhan pasipo history yaan kumbukimbu ya walio tangulia kungekua na utengenezajo magari na vitu vingine