Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.

Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.

Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.

Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.

Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.

Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.

Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
 
Kwamb ukilitembelea hilo kaburi la mdhalimu mwenda zake gharama za maisha zinashuka? Acheni serikali ishughulike na mambo ya msingi sio huo upuuzi
Kuna chuki kubwa kati ya sukuma gang na msoga crew, Msoga crew wakienda pale wakambeza chuki itaisha, kuliko kumficha huko uani
 
Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.

Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.

Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.

Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.

Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.

Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.

Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
Hiyo ardhi itumike na wamachinga kufanya biashara zao.
 
Upuuzi huu
 
Back
Top Bottom