Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
na kaburi la Akwilina, Saanane na Azory yawekwe wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaburi la Sokoine linalindwa mpaka Leo.Hivi kwanini kaburi la Magufuli lilindwe ?
NyieNajua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.
Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.
Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.
Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.
Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.
Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.
Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
Wahi milembe haraka. ushakuwa mwehuNajua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.
Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.
Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.
Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.
Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.
Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.
Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
Wanahofia wananchi wenye hasira kali wanaweza kulipiga kiberiti.Hivi kwanini kaburi la Magufuli lilindwe ?
Huyo alikuwa ni jangili kama majangili mengine, hakuna maendeleo ya maana aliyoyafanya zaidi ya makelele na kupenda sifa, huyu wa sahivi hivi udhaifu wake ni udini na kukumbatia majinzi makuuYaan nyie mnaomchukia Marehemu Dr Magufuli ,Rais aliyefanya mengi kuliko Rais yeyote Tanzani(Nukuu ya Rais mstaafu Mwinyi) ni wachache sana.Watanzania wengi sana ,wanamkubali sana yule mwamba.Nyie wachache ,ambao mlikuwa mafisadi ,mkiongozwa na timu Msoga et al,na wenye vyeti feki,majambazi ndio mnaomtukana mwamba.Kama mnabisha tukio la kujazwa maji ya bwawa la umeme timu Msoga et al,waliaibika sana.Magufuli alishangiliwa sana sana ,Mara baada ya mwakirishi wa familia kuchukua Zawadi.Uzinduz wa MV Mwanza naona mama na timu Msoga waliingia mitini.Kwa hiyo mtatukana sana hapa jamvini lakin wananchi hawawataki.Wanataka mtu Kama JPM.Tusuburi na tupewe uhai tutaona mengi.Regards.
Kwa hiyo maendeleo tunayoyaona yote,yalifanywa na baba yako au mama yako?JPM alikuwa mtu kazi kila mtu anajua.Sio mtu wa maneno mengi.Na kwa kumshambulia kila siku ,inaonyesha mlimuua.Huyo alikuwa ni jangili kama majangili mengine, hakuna maendeleo ya maana aliyoyafanya zaidi ya makelele na kupenda sifa, huyu wa sahivi hivi udhaifu wake ni udini na kukumbatia majinzi makuu
Tupe faida na sisi ambao si wakemia.Heavy metals NYINGI ni nonbiodegradable materials kama cyanides na Mercury ni rahisi ku zi trace !!!
Wakemia wamenielewa!!
Mumeo ndiyo alimuua, wakoloni waliacha reli, shule, makanisa na lamiKwa hiyo maendeleo tunayoyaona yote,yalifanywa na baba yako au mama yako?JPM alikuwa mtu kazi kila mtu anajua.Sio mtu wa maneno mengi.Na kwa kumshambulia kila siku ,inaonyesha mlimuua.
Kawahi Mirembe, siyo kwa kichaa hicho.Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.
Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.
Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.
Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.
Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.
Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.
Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
Magufuli kafanya mengi sana ,hakuna wa kumufikia .Endeleen kuteseka na kila mtu anajua mema yake.Kwa Sasa hayupo endeleen kutukana vumvuli.Mumeo ndiyo alimuua, wakoloni waliacha reli, shule, makanisa na lami
Kufa umfuate mkuuMagufuli kafanya mengi sana ,hakuna wa kumufikia .Endeleen kuteseka na kila mtu anajua mema yake.Kwa Sasa hayupo endeleen kutukana vumvuli.
Makaburi ya MaraisWanalinda nini ?
Mwambie ukweli huyo ndezi!Kwa kufanya hivyo umaskini wa nchi hii utaisha?
Watoto wetu watapata elimu Bora? Vipi tatizo la umeme na maji litamalizika?
Wakulima watapata solo Bora Kwa mazao yao?
Huduma za afya zitaimarika?
Hivi mbona idadi ya wapumbavu inaongezeka Kwa Kasi sana ndani ya nchi hii?
Kaburi la maalim seif watu wanaenda kuchukua mchanga kisa una mambo mazito.na JPM ni zaidi.
Yaan nyie mnaomchukia Marehemu Dr Magufuli ,Rais aliyefanya mengi kuliko Rais yeyote Tanzani(Nukuu ya Rais mstaafu Mwinyi) ni wachache sana.Watanzania wengi sana ,wanamkubali sana yule mwamba.Nyie wachache ,ambao mlikuwa mafisadi ,mkiongozwa na timu Msoga et al,na wenye vyeti feki,majambazi ndio mnaomtukana mwamba.Kama mnabisha tukio la kujazwa maji ya bwawa la umeme timu Msoga et al,waliaibika sana.Magufuli alishangiliwa sana sana ,Mara baada ya mwakirishi wa familia kuchukua Zawadi.Uzinduz wa MV Mwanza naona mama na timu Msoga waliingia mitini.Kwa hiyo mtatukana sana hapa jamvini lakin wananchi hawawataki.Wanataka mtu Kama JPM.Tusuburi na tupewe uhai tutaona mengi.Regards.
Kwa kufanya hivyo umaskini wa nchi hii utaisha?
Watoto wetu watapata elimu Bora? Vipi tatizo la umeme na maji litamalizika?
Wakulima watapata solo Bora Kwa mazao yao?
Huduma za afya zitaimarika?
Hivi mbona idadi ya wapumbavu inaongezeka Kwa Kasi sana ndani ya nchi hii?
Kuna kaburi la raisi au makamu wa raisi au la waziri mkuu wa Tanzania halilindwi?Hivi kwanini kaburi la Magufuli lilindwe ?