Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

Nyie Wahi milembe haraka. ushakuwa mwehu
 
Huyo alikuwa ni jangili kama majangili mengine, hakuna maendeleo ya maana aliyoyafanya zaidi ya makelele na kupenda sifa, huyu wa sahivi hivi udhaifu wake ni udini na kukumbatia majinzi makuu
 
Huyo alikuwa ni jangili kama majangili mengine, hakuna maendeleo ya maana aliyoyafanya zaidi ya makelele na kupenda sifa, huyu wa sahivi hivi udhaifu wake ni udini na kukumbatia majinzi makuu
Kwa hiyo maendeleo tunayoyaona yote,yalifanywa na baba yako au mama yako?JPM alikuwa mtu kazi kila mtu anajua.Sio mtu wa maneno mengi.Na kwa kumshambulia kila siku ,inaonyesha mlimuua.
 
Kwa hiyo maendeleo tunayoyaona yote,yalifanywa na baba yako au mama yako?JPM alikuwa mtu kazi kila mtu anajua.Sio mtu wa maneno mengi.Na kwa kumshambulia kila siku ,inaonyesha mlimuua.
Mumeo ndiyo alimuua, wakoloni waliacha reli, shule, makanisa na lami
 
Kawahi Mirembe, siyo kwa kichaa hicho.
 
Mwambie ukweli huyo ndezi!
 
Kushangiliwa hata Zimaridi alishangiliwa Sana alipotoka jela na wafuasi wake. Cha msingi ibilisi kafa mengine ni kuondoa stress.
 
Mwambie huyo boya aelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…