Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea



Kaburi fake??!! Ewe mdukuzi bila shaka akili yako imedukuliwa.
 

Kafanya mengi yepi? Watu wamepambambania Uhuru, wameleta muungano ambayo ni legacy isiyofutika Tena ndani miaka miwili ya Uhuru, na pia kujenga taifa lisilo la ukabila ambalo Magufuli alitaka kutupeleka huko, watu wamepigana Vita vya Kagera. Punguza ujinga wako Hapa. Mengi yepi kafanya?.
 
Kwa hiyo maendeleo tunayoyaona yote,yalifanywa na baba yako au mama yako?JPM alikuwa mtu kazi kila mtu anajua.Sio mtu wa maneno mengi.Na kwa kumshambulia kila siku ,inaonyesha mlimuua.

JPM alikuwa siyo mtu wa maneno mengi? Be serious. Kila siku vyombo vya habari ni yeye tu mwaka mzima, unadai alikuwa haongei? Mtu anatukana watu hadharani warudi na mavi yao nyumbani, mjinga Sana yule.
 

Serikali ina mambo mengi muhimu ya kufanya.
 
Peleka ujinga wako huko! angekuwa ameishi vizuri na Samia ungeona hayo ila kama mtu aliweza zaa na shemej yake na kutwa kumpiga mke wake yaan mama wa watu alikondaaa! sahiv kanenepaaaaa!
 
Kaburi la huyo mwehu dodoma likafanye nini?Unataka lilete mkosi dodoma ikumbwe na majanga hebu likae huko huko chato kwa lipi haswaa
 
JPM alikuwa siyo mtu wa maneno mengi? Be serious. Kila siku vyombo vya habari ni yeye tu mwaka mzima, unadai alikuwa haongei? Mtu anatukana watu hadharani warudi na mavi yao nyumbani, mjinga Sana yule.
Ww ndio mjinga sana.Umeshaifanyia nn Tanzania?Unakesha mitandaoni unamsema vibaya mtu ambaye hayupo.Mtu ambaye ameshaondoka duniani na ameshamaliza kaz yake na kuweka viwango vikubwa.Mbona Kuna Marais wahuni waliokaa nje ya nchi muda mrefu kuliko ndani ya nchi wakati wa utawala wao.Mbona hamuwasemi vibaya?Wapumbavu sana nyie.
 
Ww ndio mjinga sana .Haujitambui .Huo Muungano unawasaidia nyie wa Zanzibar sio sisi watanganyika.Vita ya Kagera vilisababisha hasara kwa Taifa .Na mpaka nchi ni masikini.Vilisababishwa na mtu mmoja.Ww unaona ni credit.Kumbe Ilikuwa upumbafu mkubwa.Tanzania hatukupambania uhuru.Bali tulipewa tu na wazungu.Yapo mataifa yaliyopambania uhuru sio sisi.Mpumbafu sana ww.
 
Taifa linatakiwa liwe na sehemu maalumu Dodoma ya kuzikia viongozi wa juu wa nchi kama wakuu wa majeshi, majaji wakuu na majaji viongozi, makamu wa rais na rais. Kuweka kaburi la kiongozi kila sehemu ni kupoteza kumbukumbu ya taifa letu.. Maana huko vijijini hawakai kugeuza kaburi kilinge cha kutambika
 
Duh....maziko ya mtu yageuzwe kivutio!!!.
Na Nyerere ajengewe wapi sasa??...

!!!!
 
Acha mawazo yakindezi likae hukohuko kama ma Lupaso na Monduli Juu na Butiama. Ukishasema FEKI ni kumdhalilisha aliyelala kule CHATO
 
Hizo pesa bora wamkopeshe abby chams akajifunze kusonga ugali kuliko kuzipoteza hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…