Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

Hiyo taarifa ni kama imefichwa huko X nimeitafuta haipo ila instagram nimeona kama codes fulani juu ya msiba mzito.
 
Watanzania kwa kuzua yasikokuwepo ni kawaida yao,
1. Walizusha kwamba makamu wa rais kafariki.
2. Walizusha RC wa Arusha roho na mwili kutengana.
3. Walizusha kuhusu Makamu mwenyekiti wa ccm kwamba katangulia.
Hayo yote hayakuwa ukweli bali uzushi
 

Kushangilia viongozi wakitangulia mbele ya haki kumeanza siku hizi. Ni dalili kuwa wananchi na viongozi wao hawakai tena pamoja. Kuna matabaka
 
Mtu kama hujafa ila wanasema umekufa huna haja ya kujisumbua kuwajibu kwamba hujafa... We siku moja weekend unaenda zako bar flan ya open space may be kama Washington Arusha bar unakunywa zako pombe huku unakula samaki mkubwa na ugali huku pembeni uko na pisi kali... Km wanaamini ni marehemu anakula bata we achana nao.


In short hilo lijamaa la Ccm lishakufa zake.. Pumbavu kabisa hii mijitu inatutesa sana.
 
Ambao hatuelewi kitu hapa tuseme tawileπŸ˜„
 
Kwani yeye ni nani mpaka asife? Kifo hi kifo tu by mama wannu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…