Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

Mliwaamini vipi wale wageni kuwakabidhi wawalindie ndugu yenu? Kwani hamjui alikuwa akilindwa na raia wa wapi?
 

Haya ndiyo malipo kuficha ugonjwa na hatimaye maradhi yaondoayo wapendwa wetu.
 
Yaani pamoja kuwa na ulinzi mzito namna ile halafu jamaa awe aliuawa kwa sumu kirahisi hivyo?
 
Yaani pamoja kuwa na ulinzi mzito namna ile halafu jamaa awe aliuawa kwa sumu kirahisi hivyo?
Tatizo ukijiwekea ulinzi mzito na kukataa barakoa, unaweza kuuawa na kirusi kidogo sana.

Halafu washabiki zako wasikubali matokeo waanze uzushi wa kuuawa kwa hujuma.

Ujanja mwingi, mbele kiza.

Magufuli kafa kijinga sana.

Kwa ubishi wake mwenyewe.

Msisingizie kauawa.
 
Tatizo Magufuli amejitoa sadaka kwa ajili ya wasojitambua na wapumbavu
INANIUMA SANA, ila tungepata miamba 10 kama Magufuli barani afrika kwa wakati mmoja,wazungu wangetuheshimu

ki ukweli mimi ni timu Magufuli
 
Kwani Sukuma Gang wenyewe wanasemaje?
 
Tatizo Magufuli amejitoa sadaka kwa ajili ya wasojitambua na wapumbavu
INANIUMA SANA, ila tungepata miamba 10 kama Magufuli barani afrika kwa wakati mmoja,wazungu wangetuheshimu

ki ukweli mimi ni timu Magufuli
we jamaa wewe magu kafa kwa upumbavu wake. Tulimuonya mienendo yake Mungu asingemwacha Covid imekuwa kijisababu tu
 
Nasikitika sana kuzuka kwa ugonjwa huu, Lakini nikiwaza ilivyotusaidia kumngóa yule Nduli narudi nyuma.
Covidi ilikuja na mazuri na mabaya yake. Ilitupasa watu wengi wafe kwa corona akiwemo Yeye Nduli wa chattle
 
Mliwaamini vipi wale wageni kuwakabidhi wawalindie ndugu yenu? Kwani hamjui alikuwa akilindwa na raia wa wapi?
Hili nilisikia kuwa Wanyarwanda walimlinda. Nikafuatilia kiundani nikakuta ni uwongo. Je wanaoneza uvumi huu, Rais Magufuli alindwa na watu hawa ofisini, safarini, Chato au kotekote?
 
Vyovyote vile kama aliuawa na hao watu au alikufa kwa COVID 19, yote ni kwa faida ya nchi yetu Tanzania.

Mwendazake alikuwa siyo mtu sahihi kwa nchi yetu. Hiyo miaka 5 aliyotawala ameturudisha nyuma kimaendeleo kwa kiasi kikubwa.

Mimi nawashukuru tu waliotuondolea huyo Ibilisi wa Chato
 
Roho mbaya,chuki, visasi, kiburi, hasira,epuka hivi unauweka rehani moyo wako na unafupisha siku zako za kuishi.Tabia uathiri moyo wa mtu uua
 
Exactly,hizi za kupewa sumu naona uzushi tu ila huenda kuna uzembe tu kwenye mambo ya kitabibu,huenda hakupata tiba sahihi kwa wakati Sahihi kwa tatizo lake la umeme,au Covid ilipita naye maana alikuwa anajichanganya tu bila tahadhari yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…