Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Avatar unayotumia inamnasa mwenye nayo kwamba huenda kakutuma kujibu mbovu kiasi hicho au siyo?Makubwa yapi kutunyima Ajira? Bora Amekufa kwakweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avatar unayotumia inamnasa mwenye nayo kwamba huenda kakutuma kujibu mbovu kiasi hicho au siyo?Makubwa yapi kutunyima Ajira? Bora Amekufa kwakweli
Mliwaamini vipi wale wageni kuwakabidhi wawalindie ndugu yenu? Kwani hamjui alikuwa akilindwa na raia wa wapi?Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Nasikitika sana kuzuka kwa ugonjwa huu, Lakini nikiwaza ilivyotusaidia kumngóa yule Nduli narudi nyuma.Corona imetusaidia sana maana kayafa alishashindikana
Kila nafsi ya mwanadamu (hata mimi na wewe) lazima itaonja mauti.Hivi Magufuli hakutakiwa kufa?
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Yaani pamoja kuwa na ulinzi mzito namna ile halafu jamaa awe aliuawa kwa sumu kirahisi hivyo?Naona watu wapo busy kutaka file la namna JPM alivyokufa lifutwe. Sasa litafutwaje kwa mfano.
Rais kututangazia kwamba kilichomuua JPM ni tatizo la mfumo wa moyo lilomsumbua kwa zaidi ya miaka 10, haiondoi nadharia kwamba inawezekana kuna mkono wa mtu/watu waliotumia hilo tatizo la moyo kuharakisha kifo chake. Yote katika yote ni kwamba lazima udadisi ufanyike, za kuambiwa changanya na za kwetu.
Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
Tatizo ukijiwekea ulinzi mzito na kukataa barakoa, unaweza kuuawa na kirusi kidogo sana.Yaani pamoja kuwa na ulinzi mzito namna ile halafu jamaa awe aliuawa kwa sumu kirahisi hivyo?
Kwani Sukuma Gang wenyewe wanasemaje?Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
we jamaa wewe magu kafa kwa upumbavu wake. Tulimuonya mienendo yake Mungu asingemwacha Covid imekuwa kijisababu tuTatizo Magufuli amejitoa sadaka kwa ajili ya wasojitambua na wapumbavu
INANIUMA SANA, ila tungepata miamba 10 kama Magufuli barani afrika kwa wakati mmoja,wazungu wangetuheshimu
ki ukweli mimi ni timu Magufuli
Covidi ilikuja na mazuri na mabaya yake. Ilitupasa watu wengi wafe kwa corona akiwemo Yeye Nduli wa chattleNasikitika sana kuzuka kwa ugonjwa huu, Lakini nikiwaza ilivyotusaidia kumngóa yule Nduli narudi nyuma.
Ahaaaaaaaaaaaaa!!Covidi ilikuja na mazuri na mabaya yake. Ilitupasa watu wengi wafe kwa corona akiwemo Yeye Nduli wa chattle
Hili nilisikia kuwa Wanyarwanda walimlinda. Nikafuatilia kiundani nikakuta ni uwongo. Je wanaoneza uvumi huu, Rais Magufuli alindwa na watu hawa ofisini, safarini, Chato au kotekote?Mliwaamini vipi wale wageni kuwakabidhi wawalindie ndugu yenu? Kwani hamjui alikuwa akilindwa na raia wa wapi?
Ndiyo hapo Sasa, uchochezi mtupu.Yaani pamoja kuwa na ulinzi mzito namna ile halafu jamaa awe aliuawa kwa sumu kirahisi hivyo?
Vyovyote vile kama aliuawa na hao watu au alikufa kwa COVID 19, yote ni kwa faida ya nchi yetu Tanzania.Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Duuh hatari!ila najikuta kuumizwa sana na kifo chakewe jamaa wewe magu kafa kwa upumbavu wake. Tulimuonya mienendo yake Mungu asingemwacha Covid imekuwa kijisababu tu
Exactly,hizi za kupewa sumu naona uzushi tu ila huenda kuna uzembe tu kwenye mambo ya kitabibu,huenda hakupata tiba sahihi kwa wakati Sahihi kwa tatizo lake la umeme,au Covid ilipita naye maana alikuwa anajichanganya tu bila tahadhari yeyoteTatizo ukijiwekea ulinzi mzito na kukataa barakoa, unaweza kuuawa na kirusi kidogo sana.
Halafu washabiki zako wasikubali matokeo waanze uzushi wa kuuawa kwa hujuma.
Ujanja mwingi, mbele kiza.
Magufuli kafa kijinga sana.
Kwa ubishi wake mwenyewe.
Msisingizie kauawa.