SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
SwadaktaaaWala habari hizi hazitugawi, nadhan habari hizi ni nzuri kqani zinaendeleza furaha ya kukumbuka kufa kwa dikteta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SwadaktaaaWala habari hizi hazitugawi, nadhan habari hizi ni nzuri kqani zinaendeleza furaha ya kukumbuka kufa kwa dikteta
Yule mchaga alikuwa UVCCM aliyepata mafunzo ya udereva Libya!Kwa udereva Mbovu na kuendesha bila leseni na Sio kwa kuua. Kumbuka alidaiwa kuuawa kijasusi, lakini jasusi yupi kakamatwa?
Uchunguzi ufanyike tu, watu waendelee kuongea wanacho jua sio kuwa kamata.... kuondoa hii shombo shauri hili lipelekwe kwa DPP na kitengo cha upelelezi cha polisi na tuanze na wapambe na walinzi wote wa Jiwe kama watuhumiwa namba moja ...!
Kwa hiyo CCM ilihusikaYule mchaga alikuwa UVCCM aliyepata mafunzo ya udereva Libya!
Wataligawa Taifa hawa wapuuziUchunguzi ufanyike tu, watu waendelee kuongea wanacho jua sio kuwa kamata.
Uchawi sio mpaka uwangeYule mchaga alikuwa UVCCM aliyepata mafunzo ya udereva Libya!
Aliyehusika alipigwa mawe kule Tarime!Kwa hiyo CCM ilihusika
waanze na uchunguzi kwa Tundu Lisu wapatikane wote waeleze walitumwa na naniHuyu kafa kwa mfumo wa umeme wa Moyo Pacemaker basi. Hayo mengine unalazimisha wewe. Hakuna Mtu duniani aliwahi kuishi na kifaa Cha pacemaker kwa zaidi ya miaka 10. Kama yupo tupe jina lake na nchi yake.
Mshaanza kuweweseka. Kama hakuuwawa hofu ya nini? Au mnaogopa "karma"?Akamatwe haraka Sana Mjinga huyu.
Mimi ninachojua, Jiwe limesambaratika na hatutaliona tena! Kwisa habari yake nyoko zake!!Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
Kama KARMA is real unajuaje kifo chake si karma imemalizana naye?Mshaanza kuweweseka. Kama hakuuwawa hofu ya nini? Au mnaogopa "karma"?
Karma is continuous dogo!Kama KARMA is real unajuaje kifo chake si karma imemalizana naye?
Ndio maana ukaambiwa peleka ushahidi ufanyiwe kazi kama unao na hivyo vita unaviweza la ha sha hiyo imeisha na after one year zitabaki conspiracy kama kawaida ya aliyewahi kuwa raisi akiondoka duniani.
Jkn ilikiwa hivihivi
Bwm ikawa hivi hivi sema haikusambaa sana
Jpm ndiyo hivi hivi.
Mtamutablet upo sahihi.Karma is continuous dogo!
Hawatapata amani damu ya mtu ni nzito. Karma itaamuaNaona watu wapo busy kutaka file la namna JPM alivyokufa lifutwe. Sasa litafutwaje kwa mfano.
Rais kututangazia kwamba kilichomuua JPM ni tatizo la mfumo wa moyo lilomsumbua kwa zaidi ya miaka 10, haiondoi nadharia kwamba inawezekana kuna mkono wa mtu/watu waliotumia hilo tatizo la moyo kuharakisha kifo chake. Yote katika yote ni kwamba lazima udadisi ufanyike, za kuambiwa changanya na za kwetu.
Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
Now wana kila kitu lakini hawana amani, hujiulizi kwa nnMshaanza kuweweseka. Kama hakuuwawa hofu ya nini? Au mnaogopa "karma"?