Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

Mimi ni miongoni mwa waliokuwa wapenzi wa Magufuli. He was not immortal. It was a natural death. Kila roho itaonja mauti.
 
Huyu kafa kwa mfumo wa umeme wa Moyo Pacemaker basi. Hayo mengine unalazimisha wewe. Hakuna Mtu duniani aliwahi kuishi na kifaa Cha pacemaker kwa zaidi ya miaka 10. Kama yupo tupe jina lake na nchi yake.
waanze na uchunguzi kwa Tundu Lisu wapatikane wote waeleze walitumwa na nani
 
Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
Mimi ninachojua, Jiwe limesambaratika na hatutaliona tena! Kwisa habari yake nyoko zake!!
 
Mshaanza kuweweseka. Kama hakuuwawa hofu ya nini? Au mnaogopa "karma"?
Kama KARMA is real unajuaje kifo chake si karma imemalizana naye?
Ndio maana ukaambiwa peleka ushahidi ufanyiwe kazi kama unao na hivyo vita unaviweza la ha sha hiyo imeisha na after one year zitabaki conspiracy kama kawaida ya aliyewahi kuwa raisi akiondoka duniani.
Jkn ilikiwa hivihivi
Bwm ikawa hivi hivi sema haikusambaa sana
Jpm ndiyo hivi hivi.
 
Karma is continuous dogo!
 
Naona watu wapo busy kutaka file la namna JPM alivyokufa lifutwe. Sasa litafutwaje kwa mfano.

Rais kututangazia kwamba kilichomuua JPM ni tatizo la mfumo wa moyo lilomsumbua kwa zaidi ya miaka 10, haiondoi nadharia kwamba inawezekana kuna mkono wa mtu/watu waliotumia hilo tatizo la moyo kuharakisha kifo chake. Yote katika yote ni kwamba lazima udadisi ufanyike, za kuambiwa changanya na za kwetu.

Huyu hakuwa tu JPM, huyu alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeifanyia makubwa nchi yetu. Kuzika tu na kusahau ni hatari kwa usalama wa viongozi wetu wajao, iwapo kifo cha JPM kitaachwa juu juu tu.
Hawatapata amani damu ya mtu ni nzito. Karma itaamua
 
Mhenga mtume wa Mungu alisema maisha ya binadamu yamejaa ubatili. Chochote binadamu anachopanga na kufanya ni kujilisha upepo tu.
 
Majeshi yote aliyokuwa akitembea nayo, Jammer ya mabilioni , helicopter, wachawi wa gamboshi . Ulinzi wote huo aliojiwekea na bado hao wapumbavu wanasema kauawa. Taarifa fupi ni kwamba marehemu tayari keshatupwa motoni kitambo kwa aliyoyafanya wakati wa uhai wake.
 
Back
Top Bottom