Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point mkuu,,big pointHuyu bwana alikufa kwa sababu ya uoga wake wa kwenda kutibiwa kwa mabeberu,sijui hofu yake ilikuwa mini,mbona Mugabe alikuwa hapatani na wazungu lakini alikuwa anaenda kutibiwa Singapore na hawakumdhuru
Sasa hili la kuuawa tuungane kulikemeaMimi ni miongoni mwa waliokuwa wapenzi wa Magufuli. He was not immortal. It was a natural death. Kila roho itaonja mauti.
Nasikia amewahi kuhonga nyumba ya umma kwa kimada akiwa waziri?Sie tumekubali kuwa alifariki na alikua kipenzi Chetu na bado tunampenda, lakini wao kutwa kila siku kugombana na marehemu!! Hiyo teyari ni laana washakua mazombie.
Alishinda uchaguzi kwa kishindo na tulimzika baada ya kufariki kwa mapenzi makubwa vilevile.Nasikia amewahi kuhonga nyumba ya umma kwa kimada akiwa waziri?
Mimi nadhani wana haki ya kitowa maoni yao kama wewe ulivyotoa ya kwako kwa mujibu wa sheria. Hakuna dhambi katika mtu kufikiria tofauti na mwingine. Wako sahihi kama wewe ulivyo sahihi. Na hata hivyo yote yanawezekana chini ya jua.Mada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Umesema uchaguzi au uchafuzi?Alishinda uchaguzi kwa kishindo na tulimzika baada ya kufariki kwa mapenzi makubwa vilevile.
🤣🤣🤣🤣🤣Taarifa fupi ni kwamba marehemu tayari keshatupwa motoni kitambo kwa aliyoyafanya wakati wa uhai wake.
mara oohhh wakora walitumwa ila mtt w town akasanda afu ndo aka retaliAte@@akaliwa timing safiiiiKashfa za kipuuzi sana hizo na wajinga wengi wanaziamini na wengi wao wanaamini Vasco pia ni muhusika.
MkuuMada hapo juu inaeleweka vizuri.
Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.
Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.
You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.
Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.
Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
Naomba niongee hili toka rohoni na nitangulize kuomba radhi kwa watakaokwazika na hili andiko languKuwaziba Watu Midomo ni kazi nzito sana kuwapuuza ni kazi rahisi sasa hapo unatakiwa uchague.
Wewe ni mchocheziMimi nadhani wana haki ya kitowa maoni yao kama wewe ulivyotoa ya kwako kwa mujibu wa sheria. Hakuna dhambi katika mtu kufikiria tofauti na mwingine. Wako sahihi kama wewe ulivyo sahihi. Na hata hivyo yote yanawezekana chini ya jua.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kama ushahidi wanao kwanini wasiupeleke kwa IGP au DPP au kwa Samia mwenyewe?Mkuu
Kwa hiyo wewe ni mmoja wa wahusika mbona unapiga kelele kuzuia wengine kupaza sauti zao?
Undeni tume huru ya uchunguzi kuhusu madai haya badala ya kutoa vitisho kwa wananchi wanaotoa hisia zao kutokana na kuumizwa.
Wewe ndio unajiona unahaki ya kusema chochote chenye majungu usikilizwe ila wenzio wanyamazishwe?
Kitu gani kinafichwa mpaka unadai video zoteyutube zifutwe?
Hapo hamuwezi kuwaziba midomo hao watu na wana ushahidi wa kutosha kwa mjibu wa maelezo yao hivyo kuwatisha ni kosa la jinai