mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
KWani siyo yao? Unataka wakaishi wapi? Ni yao, ni yako na ni yetu sote.serikali isiendelee kuwaacha mapadri na wachungaji kuwa free kujiona ndio nchi yao hii ni hatari
Mwarabu unatetea nini wewe rudi kwenu. Tz hatuna uasili wa ngozi nyeupe we tuachie nchi yetu bhana na haina dini hii. Hii nchi ni ya watu weusi na siyo weupe ama machotara, hivyo kwenye mambo ya nchi yetu mkae pembeni. Mnakuja kutalii mnazamia kabisaWewe umebeba kichwa tu ili kukamilisha umbo la kiwili wili huna akili yakuelewa,kaa pembeni,ukajifundishe na kuandika kwanza.
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo
Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali
Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.
Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.
Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.
Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.
Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.
NAWASILISHA
Wewe kaa huko watu wanaongelea mali za tanganyika hawataki zipigwe mnada kwa wale waarabu. Ukitetea bandari kunadishwa kiholela hautetei uislam, na ukikataa kunadishwa huukatai uislamu.Sawa mgalatia."Nani kaku'l'oga"
Siku hizi Maaskofu wamekuwa "masheikh"?Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo
Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali
Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.
Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.
Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.
Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.
Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.
NAWASILISHA
Wewe ni mpuuzi tena kuwa makini sanaBibi yenu ndiye amejivika udini na kuwa na Nia ya kuifanya hovyo Tanganyika na anaendekeza udini, awamu ya sita ni awamu hovyo sana
Ule mkataba ni mbaya hata kama we ni mpagani.Hilo kwako umeliona ni baya, lkn viongoz hao hao wa dini wa upande wa pili kuongelea mamb ya serikali umeona ni sahihi ? Ila wanaojibu nd sio sahihi! Jitafakari
Ukimsema mwarabu umeusema uislam huu upumbuvu unachagizwa na uislam kuchukua kila lililo la mwarabu yaani mila na tamaduni zao utakuta jitu lina lugha yake lakini salamu kwa kiarabu anaona ndio inampa thawabu matokeo yake ni utumwa wa kiimani na kifikra.Ni mjinga tu atakayeamini Dubai kuna Waislam!
Yaani hao kichwani ni ugolo mtupu eti wanadai ile lugha sio kiarabu na wanatetea kweli kweli.Rabish kabisa... Mnakalilishwa quran, imeandikwa kiarabu na hamuelewi.. shule hamtaki.. mnategea mtakuwa sawasawa kweli kichwani?
I disagreed you opinion, a coup de-tat does not occur under a single factor but can be spread like a bush fire by amalgamation of various factors among of it include religion but in most African countries a great problem is all about Ethnicity and other economic as well as political factors.Afrika ya kati walianza hivi hivi wakampindua rais kisa si wa dini ya kwao na machafuko yakaanza,waliochokozwa wakawa na hasira zaidi matokeo yake wachokozi wakazidiwa lakini lengo la umwagaji damu lil
Kama yule afande wa swala tano?mlivyo wanafiki kama hamjui vile.Zenji na pwani yote hadi mombasa ndio mchezo wenu.Na ukiona upande wa pili wanaoana madume kwa madume ndio utimamu wa akili?
Hata sheikh ponda atakuwepoNasikia kesho kwenye mkutano wa CDM watakuwepo wachungaji sijui mapadri, wasemaje ktk hilo
Basi kuna upande fulani una gene za utahira,kizazi mpaka kizazi hawazaliwi na elimu, hawazaliwi wakiwa wameelimika, wala hawasomi wakaelimika.Elimu ni kuzaliwa nao.Waweza soma usielimike.
Tafiti zisizo rasmi zinaonyesha kuwa mahali popote palipoenezwa utaahira wa upande wa kwanza, kuna vitendo vingi sana vya usodoma na ughomora kuliko kwenye ustaarabu wa upande wa pili.Na ukiona upande wa pili wanaoana madume kwa madume ndio utimamu wa akili?
Wana haki ,lakini huoni hoj zao ni za jumla hawajikiti kwenye vipengele vinavyolalamikiwa!Kwa hiyo wanaosapoti wao hawana haki yakufanya hivyo?
Viongozi wenyewe Ni Nepe, Mgema, February unategemea niniNaona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo
Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali
Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.
Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.
Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.
Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.
Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.
NAWASILISHA
Pork ndio mpango mzima, mbona wote tunakulaga ingawa kwa kujifichaficha π π πHao Wagalatia ndio Wauzaji wakubwa wa Pork huko Dubai π