Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Tukisema kuna dini moja imefungamana sana na ugaidi muwe mnatuelewa!! Sijataja ni dini gani lakini kila mmoja anaielewa na wenye dini yao wameelewa na watanuna japo sijaitaja!!, yaani wanajijua jinsi walivyto!!
 
Wewe umebeba kichwa tu ili kukamilisha umbo la kiwili wili huna akili yakuelewa,kaa pembeni,ukajifundishe na kuandika kwanza.
Mwarabu unatetea nini wewe rudi kwenu. Tz hatuna uasili wa ngozi nyeupe we tuachie nchi yetu bhana na haina dini hii. Hii nchi ni ya watu weusi na siyo weupe ama machotara, hivyo kwenye mambo ya nchi yetu mkae pembeni. Mnakuja kutalii mnazamia kabisa
 
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo

Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali

Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.

Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.

Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.

Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.

Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.

NAWASILISHA

🤣🤣🤣🤣🤣

Kuna zama zinapita na mambo mengi. Kweli sikio la kufa huwa halisikii dawa
 
Sawa mgalatia."Nani kaku'l'oga"
Wewe kaa huko watu wanaongelea mali za tanganyika hawataki zipigwe mnada kwa wale waarabu. Ukitetea bandari kunadishwa kiholela hautetei uislam, na ukikataa kunadishwa huukatai uislamu.
 
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo

Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali

Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.

Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.

Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.

Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.

Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.

NAWASILISHA
Siku hizi Maaskofu wamekuwa "masheikh"?
 
Afrika ya kati walianza hivi hivi wakampindua rais kisa si wa dini ya kwao na machafuko yakaanza,waliochokozwa wakawa na hasira zaidi matokeo yake wachokozi wakazidiwa lakini lengo la umwagaji damu lilitimia!
 
Hilo kwako umeliona ni baya, lkn viongoz hao hao wa dini wa upande wa pili kuongelea mamb ya serikali umeona ni sahihi ? Ila wanaojibu nd sio sahihi! Jitafakari
Ule mkataba ni mbaya hata kama we ni mpagani.

Sasa wanaoshabikia wanahisi ni udini kwa sababu wana fikra za kidini.
 
Ni mjinga tu atakayeamini Dubai kuna Waislam!
Ukimsema mwarabu umeusema uislam huu upumbuvu unachagizwa na uislam kuchukua kila lililo la mwarabu yaani mila na tamaduni zao utakuta jitu lina lugha yake lakini salamu kwa kiarabu anaona ndio inampa thawabu matokeo yake ni utumwa wa kiimani na kifikra.
 
Afrika ya kati walianza hivi hivi wakampindua rais kisa si wa dini ya kwao na machafuko yakaanza,waliochokozwa wakawa na hasira zaidi matokeo yake wachokozi wakazidiwa lakini lengo la umwagaji damu lil
I disagreed you opinion, a coup de-tat does not occur under a single factor but can be spread like a bush fire by amalgamation of various factors among of it include religion but in most African countries a great problem is all about Ethnicity and other economic as well as political factors.
For example, on the issue of economic when President failed to address internal problem we can expect the rise of coup but for our country is impossible the ministry of internal and external to fail on controlling and terminating problem. Dont worry
 
Na ukiona upande wa pili wanaoana madume kwa madume ndio utimamu wa akili?
Tafiti zisizo rasmi zinaonyesha kuwa mahali popote palipoenezwa utaahira wa upande wa kwanza, kuna vitendo vingi sana vya usodoma na ughomora kuliko kwenye ustaarabu wa upande wa pili.
Yaani si kwa "me" kumfanyia "me" mwenzake tuu, bali hata kwa "me" kumfanyia "ke" wakidai ni "sunna".

Imani za kitaahira.
 
Kwa hiyo wanaosapoti wao hawana haki yakufanya hivyo?
Wana haki ,lakini huoni hoj zao ni za jumla hawajikiti kwenye vipengele vinavyolalamikiwa!
Hivi Kuna shida gani kuwaweka.meza moja Mwanasheria Mkuu na hao wanaoitwa Wapotoshaji ,kama Tundu Lissu na wengine,wakate mzizi wa fitna!
Majuzi nimemsikiliz Katibu Mwenezi TAIFA wa CCM,akitetea ..kwa kweli nilijisikia vibaya mno!
Kwanza pengine hana hoja au hajui!Au kaamua makusudi kuwaona hadhira yake ni wajinga na Wapumbavu acha aongee ujinga na upumbavu!
Eti kinachouzwa huwa kinawekwa kwenye mfuko,kiroba au kikapu! Sasa Bandari haijauzwa Kwa sababu huwezi kuiweka kwenye kikapu au kiroba😠😠😠😠
 
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo

Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali

Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.

Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.

Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.

Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.

Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.

NAWASILISHA
Viongozi wenyewe Ni Nepe, Mgema, February unategemea nini
 
Back
Top Bottom