Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Utopolo sana awamu hii mtaropokwa sanaWewe ni mpuuzi tena kuwa makini sana
Wewe kweli punguani,unasema tafiti zisizo rasmi halafu unaendelea kubwabwaja? huko kwa mnao waabudu wao wanasapoti LGBTQ na wanalazimisha mataifa mengine pia wawafuate wao,Tafiti zisizo rasmi zinaonyesha kuwa mahali popote palipoenezwa utaahira wa upande wa kwanza, kuna vitendo vingi sana vya usodoma na ughomora kuliko kwenye ustaarabu wa upande wa pili.
Yaani si kwa "me" kumfanyia "me" mwenzake tuu, bali hata kwa "me" kumfanyia "ke" wakidai ni "sunna".
Imani za kitaahira.
Walikufanyaje huko Mombasa? tupe ushuhuda usione aibu ili tujue tunaanzia wapi kukusaidia ili urudi kwenye uhalisia wako.Kama yule afande wa swala tano?mlivyo wanafiki kama hamjui vile.Zenji na pwani yote hadi mombasa ndio mchezo wenu.
Haya nenda kampikie chai mumeo coz upupu uliokua unakuwasha umesha umwagia hapa.Mwarabu unatetea nini wewe rudi kwenu. Tz hatuna uasili wa ngozi nyeupe we tuachie nchi yetu bhana na haina dini hii. Hii nchi ni ya watu weusi na siyo weupe ama machotara, hivyo kwenye mambo ya nchi yetu mkae pembeni. Mnakuja kutalii mnazamia kabisa
Ila hawa ndugu zetu akili zao wanazijua wenyeweWanahisi wanamkingia kifua muislamu mwenzao wa pale Ikulu
Ujinga ndugu yangu na labda ukosefu wa elimu, probably kwao wanaona sawa DP World kutunyonya sababu Dubai ni nchi ina waarabu ambao ni waislam, it's okay kwao. Its their brothers and sisters 😂😂😂😂😂Sasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu?
Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.
Typing error tu.... KWa mwamposa asilimia kubwa wanapenda ni ummat Mudy....Wewe si umekaririshwa kua mafuta ya upako na maji ya upako yanakupa utajiri hata bila kufanya kazi?
Huko Shule ndio walikufundisha kuandika Rabbish badala ya Rubbish?
Mnapenda kusingizia typing error kuficha ujinga wenu,una mengi ya kujifunza kabla ya kujadili na watu wenye akili zao,Typing error tu.... KWa mwamposa asilimia kubwa wanapenda ni ummat Mudy....
Au sio, islamic professor.... Mwenye kujua kiarabu ambacho sio kiarabu....Mnapenda kusingizia typing error kuficha ujinga wenu,una mengi ya kujifunza kabla ya kujadili na watu wenye akili zao,
nenda kanunue chumvi ya upako kisha urudi kulala huku ukisubiri utajiri wa kimiujiza.
Kama wale wa upande ule hua wanajiona wazungu kabisa wamezaliwa Vatican,akianza kuhubiri anabadili na lafudhi utafikiri ni mzungu aliye zaliwa Vatican.Shida ya Masheikh wetu hua wanajiona waarab,utaikuta ana rafudhi ya kisukuma ila anapotoa mawaidha rafudhi inabadilika kabisa unaweza his kazaliwa na kukulia Mecca. Utumwa wa kifikra unaitesa Africa.
Nakumbuka magufuli alipigwa sana na kina askofu bagonza,mwamakula,shoo,kakobe na wengine wengi tuu hadi wengine wakataka kupewa kesi za uraiaMtoa hoja uko sahihi, mimi pia, kiukweli, huwa sipendi hii tabia. Mara nyingi mimi naogopa hata kuzifungua clips za watu wa dini kwa kuogopa nitakayoyakuta huko. Lakini ungekuwa sshihi zaidi kama ungeenda 'deep' zaidi kwa kuangalia chanzo halisi haswa cha hali hii na kulisemea kuanzia huko.
Chunguza vizuri nyakati na aina ya makemeo yanayotoka kwa viongozi wetu wa dini kwenda kwa serikali. Kuna nyakati kiongozi mkuu wa serikali hana nafasi wala pumzi ya kupumua katika mipango yake ya kimaendeleo kama kiongozi. Kila mpango wake wowote wa kimaendeleo (kiuchumi) huingiliwa kwa lundo (rundo?) la waraka na matamko......yaani ni kama hakuna kuaminika na wao wanajivika u'filters' wa kila mpango wake. Nyumba za ibada na siku za ibada huwa maalum kwa matamko kila baasa ya sala. Haya hufanyika kijanja sana chini ya 'usomi' na 'uchambuzi' ulioshiba tu......kipengele kwa kipengele.
Wakati huo huo kuna nyakati mtawala mkuu hupata relief......ataingiliwa kwa mengine tu tena very partially lakini mipango yake ya nini akusanye na kivipi hata haijadiliwi sana. Shwari hutamalaki na mtawala hupata haki ya kutawala. Hayo, mtoa mada, kwa kujua au kutokujua, ndiyo yanayotuletea hali kama hizi unazozikemea sasa.
Nachukia haya mambo kwakweli.
Tatizo la Maaskofu hawa TEC waliufyata Sana enzi za kilele cha ukatili wa JiweSasa DPW akija, atasaidia vipi Uislam? Kwa nini masheikh wetu wanadanganyika hivi kwa mgongo wa dini? Wafanyakazi wa DPW ni Waarabu? Au ni Waislam tu?
Au kisa wamesikia ni kampuni ya Dubai? Hivi mbona Magufuli alisemwa weee, ilikuwa anasemwa kisa ni Mkristo? Kwa nini Samia asiguswe anapokosea? Maswali ni mengi inabidi hawa masheikh waulizwe /wajiulize.