pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kutumia neno "wagalatia" kumaanisha wakristo ni upotofu sana.Sitaki kuamini na wewe unataka kupotoka.Ni aina ya kukashifu wengine.Wagalatia wakiongea wanaona sawa ila wengine wakiongea ndio uchochezi,halafu hawa hawa ndio kila siku wanadai uhuru wa maoni,haya ni maajabu aisee.
Tatizo wanaotetea mkataba wa bandari ndio walioingizq udini. mtu kwa confidence kabisa anasema watu wanaopinga bandari kupewa dp world sababu no waarabu na waislamuMungu wetu ndie wa thamani kuliko taifa lolote.
Ila usalama wa TAIFA lolote ni zaidi ya dini yoyote ile.
Tukomeshe hizi chuki za kidini.
Kuna mtawala aliyepingwa na viongozi wa dini wa kikristo kama Magufuli?Mtoa hoja uko sahihi, mimi pia, kiukweli, huwa sipendi hii tabia. Mara nyingi mimi naogopa hata kuzifungua clips za watu wa dini kwa kuogopa nitakayoyakuta huko. Lakini ungekuwa sshihi zaidi kama ungeenda 'deep' zaidi kwa kuangalia chanzo halisi haswa cha hali hii na kulisemea kuanzia huko.
Chunguza vizuri nyakati na aina ya makemeo yanayotoka kwa viongozi wetu wa dini kwenda kwa serikali. Kuna nyakati kiongozi mkuu wa serikali hana nafasi wala pumzi ya kupumua katika mipango yake ya kimaendeleo kama kiongozi. Kila mpango wake wowote wa kimaendeleo (kiuchumi) huingiliwa kwa lundo (rundo?) la waraka na matamko......yaani ni kama hakuna kuaminika na wao wanajivika u'filters' wa kila mpango wake. Nyumba za ibada na siku za ibada huwa maalum kwa matamko kila baasa ya sala. Haya hufanyika kijanja sana chini ya 'usomi' na 'uchambuzi' ulioshiba tu......kipengele kwa kipengele.
Wakati huo huo kuna nyakati mtawala mkuu hupata relief......ataingiliwa kwa mengine tu tena very partially lakini mipango yake ya nini akusanye na kivipi hata haijadiliwi sana. Shwari hutamalaki na mtawala hupata haki ya kutawala. Hayo, mtoa mada, kwa kujua au kutokujua, ndiyo yanayotuletea hali kama hizi unazozikemea sasa.
Nachukia haya mambo kwakweli.
Huu ni uongo. TEC walitoa waraka mzito sana 2018 walikosoa waziwazi utawala wa Magufuli. Waraka ulisambazwa hata humu, na hata kwenye gazeti lao walichapishaTatizo la Maaskofu hawa TEC waliufyata Sana enzi za kilele cha ukatili wa Jiwe
Enzi Jiwe anaua watu hovyo, enzi Jiwe anapora Passport Hadi za Ma Padre
TEC walikaa Kimya
Sisemi kuwa Kwa sasa kuhoji kwao kuna tatizo, Ila the fact kuwa enzi za uvunjifu wa Haki za Binadamu unafanywa na Jiwe, hawakukemea hata kidogo, sinawapa Mahasimu wao, ma Sheikh Ubwabwa kusema Kwa sasa wanaongea Kwa sababu Raisi ni Muislam.
It's either walijawa na hofu ama walikuwa wanaunga Mkono uhuni wa Jiwe.
Mimi naamini walijawa na hofu,
Inawezekana kabisa Kwa sasa wanapata Unafuu Kwa Sababu hawana hofu, ndio wanasema
TEC wajitafakari, inafaa siku Zote wawe Sauti ya watu bila Kuogopa.
Ona sasa wanawapa credits wahuni , Ma Sheikh Ubwabwa kuwabagaza
Naomba nikukumbushe wewe uliyejizima data.Hilo kwako umeliona ni baya, lkn viongoz hao hao wa dini wa upande wa pili kuongelea mamb ya serikali umeona ni sahihi ? Ila wanaojibu nd sio sahihi! Jitafakari
Unajua kilichomkuta Padre Raymond Saba ?Huu ni uongo. TEC walitoa waraka mzito sana 2018 walikosoa waziwazi utawala wa Magufuli. Waraka ulisambazwa hata humu, na hata kwenye gazeti lao walichapisha
View attachment 2696964
Hilo kwako umeliona ni baya, lkn viongoz hao hao wa dini wa upande wa pili kuongelea mamb ya serikali umeona ni sahihi ? Ila wanaojibu nd sio sahihi! Jitafakari
Mke wa 3 wa mtume wewe. Ndo maana Zenji mnangoza kwa kutolewa marindaHaya nenda kampikie chai mumeo coz upupu uliokua unakuwasha umesha umwagia hapa.
Utofauti ni kwamba hoja haiwi juu ya mbinu za kimaendeleo (uchumi) bali ni mambo ya kidemokrasia tu yanayopiganiwa huku mipango ya kiuchumi akiachiwa aifanye kwa raha zake. Nitajie idadi ya mikataba iliyopingwa kwa nyakati zao. Au hakukuwa na mkataba wowote?!!!!Kuna mtawala aliyepingwa na viongozi wa dini wa kikristo kama Magufuli?
Kuna maaskofu tumeanza kuwasikia wakati wa Magufuli, mfano bagonza, mwamakula, niwemungizi na munga. Tena mwamakula likuwa akiambatana muda wote na wapinzani wa Magufuli.
Kitu pekee nachojua kwa nyie, huwa ni watu wa kujistukia. Kila kitu huwa mnahusisha dini. Marekani akivamia iraq na libya mnasema ni anataka kuufuta uislamu, alafu marekani huyohuyo ndio mshirika namba 1 wa saudia Arabia nchi ambayo makka ndio ilipo.
Kuna kipindi nipo advance, Kuna mwanafunzi alifukuzwa shule lakini wenzake anaoswali nao wakasema kafukuzwa sababu ni muislamu wakati wanafunzi wengi tu walifukuzwa kwa kosa kama lile
Ww ndo w kwqnza huna akili. Kama wameongea wachungaji mana ake ni suala la kidini na ni mashekh ndio wtajib. Kama mlitaka wajib serikl wangeongea wanasiasa. Ww akili huna hata kdg. Ya kwenu huyaoni unaona ya wenzako t. Yan nyiny mfanye ni kwako unaona ni sawa ila wakifanya wenzak ambach nyi mmeanzisha unaoan hakipo sawa. Sasa unatofaut gan na hao mbumbumbu.Umeambiwa ajibu serikali sio maaheikh. Kwani masheikh ni wamekuwa serikali? Hivi ukiwa muoslam lazima uwe mbumbumbu mbona wengine wako na busara nyie msitumia vichwa kuwaza vema mnazaliwaje?
Usheitwani tu umewajaa kutaka damu imwagike kama kule central africa.Nakumbuka magufuli alipigwa sana na kina askofu bagonza,mwamakula,shoo,kakobe na wengine wengi tuu hadi wengine wakataka kupewa kesi za uraia
lakin hatukuwa tukiwasikia wenzetu waislam wakitoa neno ,kwanini sasa wamegeuka kuwa wasemaji wa serikali? Tena kwa kuwasema direct wakristo kitu ambacho hakijafanywa na askofu yeyote dhid ya uislam.
Wapumbavu Sana haoHili swala halina ubishi udini ni nje nje...time wl tell....maana kuna upande wanaona ndo time ya kustawisha dini yao...
Nadhani uzanzibar na utanganyika ndio zaidi.Hili swala halina ubishi udini ni nje nje...time wl tell....maana kuna upande wanaona ndo time ya kustawisha dini yao...
Umeona kesi za kuvunja mikataba ya madini zinazongurumishwa nje ya nchi??Siyo mashekh tu serikali ikicheka na hawa wote wanaoutumia uhuru vibaya kutukana Viongozi na kuongea kashfa itavuna mabua. Magufuli alikua na akili sana kuwadhibiti hawa wakina Tundu Lissu