pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hawa wanaojiita masheikh wameandaliwa na CCM ili kuvuruga suala la DPW!
Wanaotengeneza mgawanyiko wa kidini ni CCM na wala sio hawa wazalendo!
CCM mmeaharibu sana hii nchi kwa maslahi yenu wachache, acheni huu ushetani!