Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

Dahh, umeongea pumba za kutosha.. Mpaka unaboa.
 
Dahh, umeongea pumba za kutosha.. Mpaka unaboa.
Sio pumba, ww ndio pumba kabisa. Kila kitu , Malalamiko. Mm naishukuru serikali kwa kuweka wigo mpana kwa wananchi wake. Mfano mtu amesoma Economic, Business studies na Islamic. Kwenda chuo unahitaji point 4 tu minimum. So mtu akifaulu economics na Business studies anakwenda chuo. Mtu akifaulu economic na islamic , anakwenda kusomea dini. Religion studies. Sasa udini upo wapi hapo?Midomo tu.
 
Hebu nitajie combination yenye Divinity kwanza!
Divinity ni masomo juu ya dini.

Definition
divinity is a religious being, like a god or angel. It's also a word for the study of religion, which is studied at divinity school.

If you know the word divine means holy or sacred, then you have a clue to the meaning of divinity, which can be a god or other religious being. Anything very holy is full of divinity. Divinity is also the subject of religion itself

Sasa enter udini kwa spidi ya SGR!
Sera zipi za CCM ziliamua hili?
 
Ukosefu wa akili tu.
 
Dini hizo ni mzigo mzito afrika,Wztu wanafikilia namna ya kuzikacha kwani zimetusababishia matatizo mengi sana afrika yasiyo elezeka .

Imekuwaje tena serikali ianze kukumbatia hiyo???
πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘
 
Ndugu umeziona hizo tahsusi zenyewe zilizowekwa? Kama bado,zitafute kwanza ujionee ndio useme kitu. We zitafute kwanza
 
Kila akitawala rais muislamu lazima ishu za kidini ziibuke!

Ukute hapo rais ndio katoa hilo wazo akiamini mafisadi wataisha kwa kusoma dini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…