Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

Wewe ukiambiwa watoto wako wakafundishwe uislamu kanisani utakubali au wakafundishwe uislamu baa au gest kila kitu kina sehemu yake stahiki
Wewe wachana na "arguments" za kijinga. Wanao wanasoma "baa au gest"?
 
Dunia ya sasa ni muhimu vijana wakijua dini vizuri .. kongole serikali
 
Issue kubwa ni udini mliokuwa nao juu ya uislamu, yaani hamtaki kuiona islamic knowledge.. as if watoto wenu watalazimishwa waisome ..
 
Ni somo hatukatai lakini si mna madrasa , si mna misikiti? Si waalimu wabobevu wapo huko? Wafundishieni huko na muwape vyeti mpaka vya P.H.D lakini msiyaingize kwenye mfumo rasmi wa kiserikali

Dini ni Mila . Nchi yetu Ina Mila nyingi wapagani nao watadai somo lao la kumpinga Mungu liingie kwenye mtaala. UTAKUWA na base gani ya kuwakatalia wakati wananchi wote ni sawa?

Wafuasi wa zumaridi nao watadai elimu juu ya mungu wao zumaridi iingie kwenye mtaala utawakatalia vipi wakati tayari umekubali baadhi ya dini kuingia kwenye mtaala?
Comment hii ndiyo iwe Mwongozo wa kufungia Mjadala huu. Mkuu unaona mbali Sana. Hongera[emoji120]
 
View attachment 2941239
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?

Serkali haipaswi kuingilia katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
Mbona masomo ya dini tumekiwa tunafundishwa shule na mitihani ipo? Au wewe ulisoma shule zipi?

Kuna mtu amesoma shule za bweni harafu hayo masomo hayapo? Hujaona kweyadmission ya Vyuo Huwa wanasema uwe na credits 2 isipokuwa masomo ya dini?

Huo udini hapo unatoka wapi? Mwisho Kuna watu wanasomea hayo masomo Toka kitambo na wanayatumia Kwa masuala ya dini Sasa sijui huo udini hasa ni upi maana Mimi nimeyakuta shule tangu kitambo.

Labda ambacho sijawahi kuwa na uhakika nacho ni kama Kulikuwa na combination zenye kuhusisha masomo ya dini ambayo ndio mnapigia Makelele hapa yasiyo na msingi.
 
Soma vizuri uielewe mada.
 
Soma vizuri uielewe mada.
Wewe ambacho hujaelewa kwenye maelezo yangu ni kipi? Wewe ndio umekurupuka.

Nimekuuliza wewe umesoma miaka ipi? Masomo ya dini yalikuwepo au hapana?

Mwisho nikasema ambacho Sina uhakika nacho ni kama Kulikuwa na tahsusi za masomo ya dini A level but Kwa O.level masomo yalikuwepo na yalifanyiwa mtihani.

Rudi kwenye maelezo ya post yangu ukaelewe na ujibu
 
Bado hujaielewa mada, na jiridhishe kwa kusoma katiba.
 
Wewe wachana na "arguments" za kijinga. Wanao wanasoma "baa au gest"?
Wewe ni pumbafuu mimi nakumbuka niliwai kupata adhabu kisa sijaingia kwenye vipindi vya dini ....dini ibaki kuwa siri ya mtu .....leo dini za watu tunazitambua siyo kwa matendo yao mema bali ushabiki wao wa kidini ..mashuleni watoto wafundishwe matendo mema na uhadilifu ambayo ni bora kuliko kuwa na dini ....kuna faida gani kuwa na dini au kujisifia dini wakati mtu hauna matendo mema na uhadilifu ? Ni sawa sawa na waisiharamu ambao wao wanajisifia kwenda misikitini au wanajisifia uisiharamu au wanajisifia madhehebu waliyopo......wakati matendo yao siyo mema...tujifunze hataxkwa bwana muhammad kabla ya kujitambulisha katika mambo ya dini mbele ja jamii yake alijulikana kwa matendo yake mema ya uhadilifu na haki tofauti na nyinyi wahuni wa kiisiharamu mliopo sasa duniani .....ni wapi muhammad aliwahi kufunga ramadhani na kufuturu futari ya nguruwe ? Kama mnavyo fanya nyinyi mashabiki wa uisiharamu ?
 
Wewe ni pumbafuu mimi nakumbuka niliwai kupata adhabu kisa sijaingia kwenye vipindi vya dini ....dini ibaki kuwa siri ya mtu .....leo dini za watu tunazitambua siyo kwa matendo yso mema bali ushabiki wao wa kidini ..mashuleni watoto wafundishwe matendo mema na uhadilifu ambayo ni bora kuliko kuwa na dini ....kuna faida gani kuwa na dini au kujisifia dini wakati mtu hauna matendo mema na uhadilifu ? Ni sawa sawa na waisiharamu ambso wao wanajisifia kwenda misikitini au wanajisifia uisiharamu au wanajisifia madhehebu waliyopo......wakati matendo yao siyo mema...tujifunze hataxkwa bwana muhammad kabla ya kujitambulisha katika mambo ya dini mbele ja jamii yake alijulikana kwa matendo yake mema ya uhadilifu na haki tofauti na nyinyi wahuni wa kiisiharamu mliopo sasa duniani .....ni wapi muhammad aliwahi kufunga ramadhani na kufuturu futari ya nguruwe ? Kama mnavyo fanya nyinyi mashabiki wa uisiharamu ?
Ukiitwa mbumbumbu utabisha? Hakuna mitihani ya kitaifa ya masomo ya dini mashuleni Toka kitambo? Imeanza awamu ya Samia?
 
Wewe wachana na "arguments" za kijinga. Wanao wanasoma "baa au gest"?
Je wakristo wakifanya pasaka ya kuchinja kitimoto na kula mashukeni nyinyi mtakubali ? Unakumbuka mlivyo vunja bucha za nguruwe miaka ya nyuma nchini mbona hoja yako ya kutokulazimishwa kula nguruwe ukuitumia kuwatetea wenye kuuza nguruwe ? Nyinyi anzisheni upumbavu wakati ndiyo mnakuwa wa kwanza kulia mambo yanapo kwenda tofauti kama sasa samia kaleta uisiharamu serikali atakapo shika mkristo akafanya mambo kinyume chake msije mkalia ...leo hii samia asikilizi chochote kutoka kwa wakristo na waisiharamu mnamshabikia kwa hicho kitendo haramu . .atakapo kuja mkristo mjue kabisa lazima atatenda kinyume na hayo hata huyo muarabu wa bandari na loliondo msahau kuwaona
 
View attachment 2941239
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?

Serkali haipaswi kuingilia katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
Nchi Ina Rais wa ajabu sana ni Rais wa kwanza kuwa na dhamira kusudi na mpango makusudi wa kuifanya Tanzania iwe nchi ya kiislam, anawezaje kuthubutu kufanya ushetani wa kuingiza dini kwenye mambo ya serikali nchi imeweka bayana serikali haini dini Leo hii huyo mbwa wake anaongoza genge la kuifanya Tanzania iwe nchi ya kiislam
 
Walianza na mavazi ya kujitofautisha wakiwa hata kwenye mashule ya serikali huu ni upumbavu mkubwa sana
 
We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.

U

Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic.

Economic na, Business studies ndio zitampeleka chuo kikuu kwan university wanaesabu point nne za masomo mawili. Islamic knowledge itamsaidia kuwa na ufahamu wa neno la mungu na kuwa, na Imani na pia kuwa na uoga, na mwenyez mungu. Ili nchi iendelee tunahitaji wazalendo na wenye Imani na Mungu.
Kama una point...sikuwa nimeliwaza hili mwanzo..

Ila nakukumbusha tu hivihivi utakuta na vyuo vinaanzisha kozi za kidini...

Anyways nadhani sisi Waafrika tuna shida ya kimaumbile (there is something wrong with our creation)
 
Ukiitwa mbumbumbu utabisha? Hakuna mitihani ya kitaifa ya masomo ya dini mashuleni Toka kitambo? Imeanza awamu ya Samia?
Wapi nimeandika neno mitihani au wewe ni zuzu....tatizo la kuelimisha mfuturu futari ya nguruwe[emoji491][emoji491][emoji491][emoji491] [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] secondary mojawapo niiliyo soma ilikuwa shule ya jeshi ...nilisoma secondary 3 tofauti tofauti kulianzishwa vipindi vya dini na dini zilikuwa mbili za ukafiri wa kikristo na uisiharamu mimi sipo kwenye hizo dini hivyo nikabaki nje nimejipumzisha nikakutwa na mwalimu mp wa jeshi na kunipa adhabu na kunitaka nichague kuingia popote kati za hizo dini chafu mbili ...nikaona isiwe tabu nikaingia kwa wakristo kama kawaida akaja mdada kahaba tu ni kama saa mia moja mbovu ...alikuwa ni mwanafunzi wa shule nyingine ya secondary kutufundisha dini hapo mdada yule alikuwa kavaa shati ambayo akiinua mikono juu na kusema asifiwe bwana Yesu shanga za kiunoni azinaonekana...mbwembwe kibao mara atingishe tako mara hivi mara vile ...kitu pekee nilichopata kwenye hicho kipindi cha dini siku hiyo ni mazoezi ya kudindisha uboo tu ... FaizaFoxy ChoiceVariable
 
Wapi nimeandika neno mitihani au wewe ni zuzu....tatizo la kuelimisha mfuturu futari ya nguruwe[emoji491][emoji491][emoji491][emoji491] [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] secondary mojawapo niiliyo soma ilikuwa shule ya jeshi ...nilishoma secondary 3 tofauti tofauti kulianzishwa vipindi vya dini na dini zilikuwa mbili za ukafiri na uisiharamu mimi sipo kwenye hizo dini hivyo nikabaki nje nimejipumzisha nikakutwa na mwalimu mp wa jeshi na kunipa adhabu na kunitaka nichague kuingia popote kati za hizo dini chafu mbili ...nikaona isiwe tabu nikaingia kwa wakristo kama kawaida akaja mdada kahaba tu kama saa100 moja mbovu kutufundisha dini
Kumbe masomo ya dini yapo Sasa povu mnatoa za nini?
 
View attachment 2941239
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.

Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile.

Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?

Serkali haipaswi kuingilia katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
Serikali hii awamu ya 6 waachane na kurekebisha mfumo wa elimu maana hawana nia nzuri. Kuna watu wanafikiri kufa magufuli wamepata ushindi na ili kuua fikra za kimagufuli ni kupitia elimu. Awamu hii waache mpango kama walivyoukuta. Hebu fikiri combination zaidi ya 60 ni za kazi gani. Mimi sio mtaalam wa elimu lakini inatustaajabisha. Hasa pale tunaona combination za masomo ya dini mambo ambayo ni imani za watu binafsi. Katiba yetu hairuhusu serikali kujihusisha na mambo ya dini yeyote ile.
 
Je wakristo wakifanya pasaka ya kuchinja kitimoto na kula mashukeni nyinyi mtakubali ? Unakumbuka mlivyo vunja bucha za nguruwe miaka ya nyuma nchini mbona hoja yako ya kutokulazimishwa kula nguruwe ukuitumia kuwatetea wenye kuuza nguruwe ? Nyinyi anzisheni upumbavu wakati ndiyo mnakuwa wa kwanza kulia mambo yanapo kwenda tofauti kama sasa samia kaleta uisiharamu serikali atakapo shika mkristo akafanya mambo kinyume chake msije mkalia ...leo hii samia asikilizi chochote kutoka kwa wakristo na waisiharamu mnamshabikia kwa hicho kitendo haramu . .atakapo kuja mkristo mjue kabisa lazima atatenda kinyume na hayo hata huyo muarabu wa bandari na loliondo msahau kuwaona
Una argument za kitoto na kijinga sana. Kukujibu wewe ni kupoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom