FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hawa jamaa ni mapimbi sana. This is not the govnmnt of the people, this is govnmnt of group of people.Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki.
Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwannyieni ni nani msipandishwe pikipiki?!
Serikali iliyohamia Dodoma kwa mbwembwe ilikuwa ya Magufuli, Samia ameamua kurudi Dsm kinyemelaKweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki.
Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwannyieni ni nani msipandishwe pikipiki?!
Nyie dawa yenu mtu kama HamzaTupande toyo tukipata ajali mtukate miguu nani awaongoze?
Tuachieni njia tunawahi kula keki ya taifa.
Acha chuki wewee.. unalipwa kiasi gani?Huyu mama hamna kitu, tumepigwa. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu!
Aseee 😳😳
Mnajitahidi kufungua nyizi za kufuja hii yote kwasababu hamjitambui..Kweli Mama haitaki Dodoma
Sherehe za Uhuru.wa Tanganyika zinafanyika kesho ambapo tokea Tanganyika huru ipewe uhuru wake na Uingereza miaka 60 iliyopita. Miaka mitano iliyopita kulikuwa na mabadiliko makubwa sana ikiwemo serikali kuhamia Dodoma na shughuli zote za kitaifa kufanyika huko. Lakini kwa mwenendo uliopo Mama...www.jamiiforums.com
Umelipwa ngapi?Acha chuki wewee.. unalipwa kiasi gani?
Unataka tukuachie starehe za hili jiji ufaidi peke ako thubutu hata sisi tunapenda pisi kali na stareheKweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki.
Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwannyieni ni nani msipandishwe pikipiki?!