Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Watanzania bhana!"Eti hamna huruma"?
Yaani CCM washindwe kukuonea huruma ndani ya miaka 60 ya uhuru kwenye suala la huduma ya msingi kabisa ya maji na umeme waje kukuonea huruma kwenye ishu za misafara?
Halafu huenda Mtanzania ndiye binadamu mjinga kuliko wanadamu wote duniani.Serikali ni mtumwa wa wananchi kwa sababu imeajiriwa na wenye nchi ambao ni wananchi.
Sisi ndiyo boss na wao ndiyo waajiriwa kwa sababu sisi ndiyo tunawatuma serikali watufanyie kazi na kisha tunawalipa ujira.
Sasa kati ya boss na mwajiriwa ni nani anapaswa kumuonea mwenzake huruma?Boss anaemtumikisha mwajiri wake au mwajiri anaetumikishwa na boss?Anaepaswa kuonewa huruma ni anaetumikishwa au anaetumikisha?
Wewe kwa akili zako unataka mtumwa amuonee huruma boss.Yaani anaepigwa mijeledi na kulishwa uji(Serikali) ndiye amuonee huruma anaetandika mijeledi(boss).Ni akili za wapi hizi?!