Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango wa shetani huwa hausimami. Acha tuamini tunachoamini na waho waamini wanachokiamini. Mungu anajua yote, pia huna mamlaka ya kuhukumu mwingine maana hata biblia imesema msihukumu. Mungu hachunguziki. Asa so long as wanamwamini Mungu wa Ibrahim tunayemwamini tatizo ni nini?Usilamu haujawahi kuwa mpango wa Mungu,bali ni mpango wa shetani kuingilia mpango halisi wa Mungu,kwa kuchanganya uongo na ukweli ili kuvuruga mpango wa wokovu wa Mung kwa wanadamu.
Uislam ni njia ya upotevuni.
Mfano mzuri hapa jukwaani wakristo haipiti siku hamjapandisha uzi wa kuuongelea uislamWaislamu Ndio wanachuki na ukristo Ndio mana Kila asubuhi wanaujadili ukristo
Wewe mtoto wa zinaa wala sihangaiki kubishana na wewe,huu muda wako nenda ukauutumie na mumeo kuliko kubishana hapa na wanaume,utakuja kupigwa talaka huko,halafu uje utusumbue hapa na uzi wa kututaka ushauri.Hakuna mtu anayekataa huyo muhubiri kuja,shida ipo anachokucha kukifanya huwezi kuja na mada ya Yesu Kristo na Pedophile mudi ulete ulinganifu ni kebehi na uharo mtupu.
Amjadili pedophile muddy bila kuleta habari za Kristo hatutaki.
Mgomvi na India sio lazima awe mgomvi wa TZNimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
Unajua nn maana ya mdahalo au unabwabwaja tu ! Huyo anakuja kutoa lecture na sio mdahalo . Hiyo heading isikutishe wangeweza kuandika ISSA BIN MARIUM VS MUHAMMADHakuna uhusiano baina ya Yesu kristo na Mohamed, huo mdahalo una ajenda ovu ya kueneza chuki za kidini na ugaidi. Watanzania hatukubaliani na mdahalo huo, serikali iupige marufuku. Lakini kwa kuwa serikali inaongozwa na wa dini hiyo hawawezi kuona HATARI YA KURUHUSU jambo baya kama hilo.
Kwa hiyo na wewe hapa unajiona msomi kuandika pumba hizi!Unajua nn maana ya mdahalo au unabwabwaja tu ! Huyo anakuja kutoa lecture na sio mdahalo . Hiyo heading isikutishe wangeweza kuandika ISSA BIN MARIUM VS MUHAMMAD
Pumba uliandika mwenyewe, halafu Wahubiri wangapi kwa upande wa kikristo wamekuja kuhubiri kuna muislamu alipinga!Kwa hiyo na wewe hapa unajiona msomi kuandika pumba hizi!
Ndio maana nakuambia wewe jamaa ni pumba tu sema ni muhubiri gani wa kikristo aliwahi kuacha kuhubiri habari za dini yake (Yesu) na kuingiza habari za mtume wenu Mohamed.Pumba uliandika mwenyewe, halafu Wahubiri wangapi kwa upande wa kikristo wamekuja kuhubiri kuna muislamu alipinga!
Huyo muhubiri apigwe marufuku,ni moja ya mawakala wa ugaidi,tuwe makini nae kukaribisha watu kama hawa nchini ni kuleta mtafaruku hasa ukizingatia mada yake imekaa kichochezi na leo ovu nyuma yake.
Hapo ndiyo ukichaa wa Kobaz ulipo. Hata wakibinywa kwao, wanakimbilia kwa wale wanaowaita makafiri.
Watu wa dini wanafiki sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna shida hapo. Kila mtu akasilikilize atoke na anachokiamini.Hakuna uhusiano baina ya Yesu kristo na Mohamed, huo mdahalo una ajenda ovu ya kueneza chuki za kidini na ugaidi. Watanzania hatukubaliani na mdahalo huo, serikali iupige marufuku. Lakini kwa kuwa serikali inaongozwa na wa dini hiyo hawawezi kuona HATARI YA KURUHUSU jambo baya kama hilo.
nachochea Udini !Hili ni jambo la kawaida kwa Awamu ya 6, kama ilivyokuwa Awamu ya pili!
Vuumilieni sindano iwaingie.
MTANIKUMBUKA
We ndio pumba kabisa . unachoshidwa kuelewa YESU KRISTO kama anavyotambulika kwa wakristo , waislamu wanamtambua kama ni mtume yaan ISSA BIN MARIUM Sema waliyodizaini hilo tangazo hawakupaswa kuandika JESUS KRISTO badala yake wangeandika ISSA BIN MARIUM ili mjinga kama wewe usipate taabu kuelewa , kuwa universal kakaNdio maana nakuambia wewe jamaa ni pumba tu sema ni muhubiri gani wa kikristo aliwahi kuacha kuhubiri habari za dini yake (Yesu) na kuingiza habari za mtume wenu Mohamed.