Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.

Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?

View attachment 3187483
Huyu hakuufaa kuruhusiwa kwa sababu atahubiri udini na chuki dhidi ya wasio wasilamu
 
Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.

Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
Uislam sio fashion wew ukibadilika inatosha kabisa Uislam hauna mabadiliko yoyote utafanya kuendana na Dunia, usilam utabaki vilevile wew ndio uendane na Dunia inavotaka.
 
Dr. Zakir Naik ni mhubiri maarufu na mtaalamu wa dini kutoka India, anayejulikana kwa hotuba zake kuhusu Uislamu na mazungumzo ya kidini. Hata hivyo, amekuwa na migongano kadhaa na serikali na jamii, ambayo inamfanya kuwa na sifa mbaya katika baadhi ya muktadha.

Kwanza, Naik amekumbwa na lawama nyingi kutokana na mitazamo yake kuhusu dini nyingine. Katika hotuba zake, amekuwa akitumia mbinu za kujenga hoja ambazo mara nyingi zimeonekana kama za kukashifu dini nyingine. Hii inasababisha hisia kali miongoni mwa waumini wa dini hizo, na hivyo kuleta mivutano ya kidini. Wakati mwingine, kauli zake zimekuwa zikichukuliwa kama chuki dhidi ya dini nyingine, jambo ambalo linaweza kuchochea siasa za chuki na mvutano wa kidini nchini India.

Pili, Naik amekuwa akituhumiwa kwa kuhamasisha vijana kujiunga na makundi ya kigaidi. Baada ya shambulio la kigaidi la 2016 katika cafe moja ya Dhaka, Bangladesh, baadhi ya washiriki walitaja jina lake kama mtu aliyewahamasisha. Hii ilichochea hofu miongoni mwa serikali na jamii, ikichukuliwa kama hatari kwa usalama wa kitaifa. Serikali ya India ilijibu kwa kumuweka Naik kwenye orodha ya watu wanaotafutwa, na kumfanya kuwa na hofu kubwa ya kukamatwa.

Kwa upande wa siasa, Naik amekuwa akihusishwa na siasa za kidini. Katika nchi yenye mchanganyiko wa dini kama India, Naik anatumia maarifa yake ya kidini kuingilia siasa na kuhamasisha wafuasi wake. Hii inachangia katika kuimarisha mgawanyiko wa kidini na kuleta mivutano kati ya waumini wa Uislamu na wale wa dini nyingine. Wakati ambapo siasa za kidini zinapata nguvu, Naik anachangia katika hali hiyo kwa kutumia mafundisho yake ili kuhalalisha siasa hizo.

Aidha, Naik amekuwa akijitokeza kama kiongozi wa kidini anayejenga umaarufu wa haraka, lakini mara nyingi bila kufuata misingi ya uwazi na uwajibikaji. Hii inawafanya baadhi ya watu kumshuku kuhusu nia zake za kweli. Watu wengi wanajiuliza kama anatumia hadhara yake kujiimarisha kisiasa au kama anataka kueneza ujumbe wa kidini. Hali hii inachangia katika kukosa uaminifu kwa baadhi ya wafuasi wake na kuleta wasiwasi kuhusu mwelekeo wa uongozi wake.

Katika muktadha wa mahusiano ya kimataifa, Naik pia amekumbwa na ukosoaji kutokana na uhusiano wake na nchi na makundi ya kigaidi. Wakati wa hotuba zake, amekuwa akijitenga na siasa za mataifa mengine, lakini baadhi ya watu wanamshutumu kwa kuwa na mtazamo wa upande mmoja katika masuala ya kimataifa. Hii inachangia katika kuimarisha hisia kwamba anashiriki katika kujenga mtazamo hasi kuhusu nchi fulani na kuhamasisha chuki dhidi ya watu wa mataifa hayo.

Zaidi ya hayo, Naik amekuwa akishutumiwa kwa kushindwa kukubali ukosoaji. Wakati ambapo wanaharakati wa haki za binadamu na wapinzani wa siasa zake wamejaribu kumkosoa, amekuwa na mtazamo wa kutokubali maoni tofauti. Hii inawafanya watu wengi kuona kuwa yuko tayari kukabiliana na wale wanaomkosoa, badala ya kujadili masuala kwa njia ya amani na yenye kujenga. Hali hii inachangia katika kuimarisha hisia kwamba Naik ni kiongozi ambaye hataki kubadilika au kujifunza kutokana na makosa yake.

Katika suala la elimu, Naik amekuwa akijulikana kwa kutumia mitindo ya kidini katika kujifunza. Hii inawafanya baadhi ya watu kuhisi kuwa anahamasisha elimu ya upande mmoja, ambayo inaweza kuzuia vijana wa Kiislamu kujifunza kuhusu dini nyingine au hata kuhusu masuala ya kisasa. Katika ulimwengu wa sasa, ambapo elimu ni muhimu, njia zake zinaweza kuonekana kama kikwazo kwa maendeleo ya vijana na jamii kwa ujumla.

Kwa ujumla, Dr. Zakir Naik anaonekana kama kiongozi wa kidini mwenye ushawishi mkubwa, lakini pia anahusishwa na changamoto nyingi zinazohusiana na siasa na dini. Migongano yake na serikali, mitazamo yake kuhusu dini nyingine, na uhusiano wake na makundi ya kigaidi ni baadhi ya mambo yanayoeleza mbaya yake katika jamii. Hali hii inadhihirisha changamoto zinazokabiliwa na viongozi wa kidini katika mazingira ya kisasa, ambapo mazungumzo ya kidini yanahitaji kuwa na mtazamo mpana na wa kujenga ili kuwezesha amani na umoja.
Kwa Hisani ya ChatGpt kwanini hujasema hivyo. Zaka naik ni kichekesho. Wakristo Inabidi tumualike David Wood aje uone chuki itakavyotamalaki! David Wood ni Ex Atheist ambaye ni mwanazuoni anayempopoa naiki Kwa viwango vya juu na uislam wake
 
Je ni haki kumjadili Muhammad wenu na wakristo
Hamna hiyo haki kwa sababu sio mtume wenu na wala hamumtambui kama mtume wenu.
Lakini yesu ni nabii wa waisilam na wana mtambua hivyo wana haki ya kumjadili.
Nabii pekee ndani ya ukristo asiye wahusu waisilam ni paulo tu maana hawamtambui.
 
Muhamed ni cult tu Wala sio mtume Ndio mana hata Biblia haijawahi kutabiri Wala kuandika juu yake! Ujanja ujanja wake ulompa umaarufu basi!
Hamna hiyo haki kwa sababu sio mtume wenu na wala hamumtambui kama mtume wenu.
Lakini yesu ni nabii wa waisilam na wana mtambua hivyo wana haki ya kumjadili.
Nabii pekee ndani ya ukristo asiye wahusu waisilam ni paulo tu maana hawamtambui.
 
Kusikia muhubiri wa kiislam anakuja,chuki zimewajaa kama zote,
Kila siku wachungaji kutoka nje wanakuja ila huoni hili povu,

Yule Kiboko ya wachawi alitoka DRC akawapiga hela kisha akarudi kwao kuwacheka ila wala hawaoni tabu,kule moshi walikufa wato 20 kwa kukanyagana wakigombea kupaka mafuta ila hatukuona hili povu.
Ziangatia hoja za wadau kuhusu uchochezi na kashfa ambazo jamaa anazo,yeye sio muhubiri wa kwanza wa kislam kuja tanzania, mbona watu hawakuhoji?
 
Wewe kilaza hata TV ya huyo sheikh imepigwa marufuku na kufungiwa nchi nyingi tu zikiwemo Uingereza na Canada. Unaelewa tolerance kubwa ya kidini iliyopo Uingereza ukipigwa ban ina maana una matatizo makubwa sana??
Sasa uingereza na Canada si ni nchi za kikatoliki hizo we nae YODA MJINGA! Mbona ni mtu mzima ila chuki ya waziwazi imekujaa?! Wewe una akili kuzidi serikali?! Una mamlaka gani ya kuwapangia wa kuingia au kutokuingia nchini?! Kwa taarifa yako Intelijensia ya Tanzania ni hatari mno! Mno! Mno! Usisikie! Ukiona wapo kimya wanajua kila kitu na wameshaelewa na hakuna risk yoyote!

Mada za mbowe zimekuishia?!
 
Ziangatia hoja za wadau kuhusu uchochezi na kashfa ambazo jamaa anazo,yeye sio muhubiri wa kwanza wa kislam kuja tanzania, mbona watu hawakuhoji?
Kashfa kila binadamu anazo,zingine hua sio za kweli,hata wewe una kashfa zako pia,wapingaji hawana hoja zaidi ya chuki ya udini,huo ndio ukweli,take it or leave it but u can't change the truth,

Hata Mandela alikua na kashfa,hata yule kiongozi wa kile chama alituhumiwa ugaidi pia,

Sio kila tuhuma ni za kweli.
 
Nchi yetu ina dini nyingi, lazima wahubiri wanakuja kuhubiri walitambue hilo, waepuke kabisa kuhubiri migawanyiko au mahubiri yatayochochea dini moja dhidi ya nyingine.
 
Vitu vingine vya kipumbavu kabisa sasa huo mdahalo una faida gani kwa taifa hadi uruhusiwe kufanyika tena kwenye uwanja wa mpira ambao unapaswa kua kwenye hali nzuri kwa ajili ya mashindano yajayo 🤔🤔 mijadala kama hiyo haipaswi kuruhusiwa inaletaga chuki tuu kati ya watu na ukitegemea mtu mwenyewe huyo aliealikwa ni gaidi lenye misimamo mikali serikali ingepiga marufuku tuu huo upuuzi
Serikali zote zinaendeshwa na Waislam...!
 
Muhamed ni cult tu Wala sio mtume Ndio mana hata Biblia haijawahi kutabiri Wala kuandika juu yake! Ujanja ujanja wake ulompa umaarufu basi!
Dini zote ni cults. Ila ikiwa si yako ndiyo unapata urahisi wa kuiona cult.
 
Dini zote ni cults. Ila ikiwa si yako ndiyo unapata urahisi wa kuiona cult.
With written proof from its own sources it is a cult! What if am an atheist?
How would you allow marriage of a 6 years old girl and consummate the marriage at her 9 and claim that is a religion of righteousness!
 
Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.

Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
Mbona hakuna Jesus VS Muhammad? Binafsi nimeona bango linasoma Jesus & Muhammad Brothers In Faith.
Au mnapenda kuwaza na kutenda kitofauti kwa misingi ya dini zenu?
 
Pumbafuuu Kabisa Huyo gaidi anakuja kufanya Nini Kwetu,,Mambo ya Yesu Sijui Mohammad yanatusaidia Nini Sisi!??? please Serikali kataeni upuuuzi Huo..Kazi kuingilia Dini za Watu Tuu.Tuache ..Takataka Hiyo hatuitaki Hapa.
Nenda kasikilize kwanza... usihukumu kabla ya kusikiliza na kuona mwenyewe
 
Back
Top Bottom