Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 1,518
- 2,174
Huyuu sasa ni gaidiNdiyo kishatimba,mbona waponyaji toka nje huja kutapeli kwa jina la yesu!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyuu sasa ni gaidiNdiyo kishatimba,mbona waponyaji toka nje huja kutapeli kwa jina la yesu!?
Je ni haki kumjadili Muhammad wenu na wakristoAnaye enda kujadiliwa ni yesu na sio wakristo , wakristo hawana hati miliki ya yesu mpaka useme kuwa waisilam hawana ruhusa ya kujadili yesu.
Yesu ana tambulika kama nabii ndani ya uisilam
Kama tuna extradition arrangements na India na bado anakuja inawezekana ameshatonywa na vyanzo vya ndani atakuwa salama hata India wakiomba akabidhiwe kwao."India also has reciprocal extradition arrangements with the following 10 countries: Fiji, Italy, Papua New Guinea, Singapore, Sri Lanka, Sweden, Tanzania, Thailand, Croatia and Peru."
Loading…
eparlib.nic.in
Sio Jesus Huyo ni issa wenuImani yetu ni kuwa Jesus ni muislamu tena ni nabii. Sasa wewe hutaki waislamu wajadili nabii wao?
Haoo wote matapeli tuu sio Muhammad sio yesuJe ni haki kumjadili Muhammad wenu na wakristo
Inawezekana India hawamtafuti kihivyo.Kama tuna extradition arrangements na India na bado anakuja inawezekana ameshatonywa na vyanzo vya ndani atakuwa salama hata India wakiomba akabidhiwe kwao.
Wampeleke India akafungwe mwehu sana huyuu gaidiInawezekana India hawamtafuti kihivyo.
Wakimtafuta na kuwaambia Tanzania wanamtafuta, itakuwa vigumu kwa Tanzania kum protect. Kwa sababu Tanzania ina interests nyingi sana na India, na pia Tanzania ina wahalifu inaiwatafuta India inapotaka warudishwe itapenda warudishe.
Dr. Zakir Naik ni muhubiri muoga sana akipigwa maswali magumu kama alivyopigwa maswali hapo Nairobi.
Na kizuri nchini Kenya lugha waliyotumia katika mdahalo ni kiingereza na hadhira inafahamu kiingereza pia jukwaa walilotumia ni la eneo local siyo kitaifa kupitia kituo cha televisheni cha kitaifa kama Azam TV.
Lakini kwa Tanzania kuna ajenda maalum kuzidi zile za Sheikh Mazige, Sheikh Mwaipopo n.k sasa kundi la Dr. Zakir Naik badala ya kutumia jukwaa online TV au ukumbi wa Diamond Jubilee au uwanja wa Benjamin Mkapa huyu muhubiri anataka kwa udi na uvumba kutumia jukwaa la kitaifa la Kituo tajwa cha televisheni kuingia katika kila sebule ya nyumba ya raia mtanzania kupitia kituo kikubwa kabisa cha kurushia matangazo ya televisheni cha Azam TV.
Nadhani haijawahi kutokea Tanzania kituo kikubwa kabisa cha Televisheni nchini ngazi ya taifa kikatumika ku test ukweli ya mitume, imani, biblia, Quran, Hadithi n.k kwa upande mmoja wa imani kujikita kusema kuwa kuna mapungufu kati imani inayotumika msikitini, kanisani, hekaluni au katika kusanyiko lao.
Siku zote katika jukwaa la kitaifa kupitia chombo cha umma kikubwa kama Azam TV, ITV n.k hutumika kuswalia, kusali, kuhubiri yale ya imani zao na siyo mashambulizi kuelekezwa imani nyingine.
Hii ni historia au precedent mpya inajaribu ku najengwa kwa chombo umma cha kitaifa kutumika kushambulia imani ya dini, dhehebu na mitume yao pia vitabu vya imani nyingine.
Kufanyika mdahalo Diamond Jubilee, online TV isiyo ya kitaifa, uwanja wa wazi Benjamin Mkapa hiyo siyo shida ila serikali kuruhusu vyombo vikubwa vya umma vya kitaifa kama Azam TV kuwa jukwaa la imani mmoja kushambulia imani nyingine siyo sawa.
Hii ya chombo cha mawasiliano cha kitaifa Tanzania kutumika kushambulia imani nyingine, ni sawa na Radio ile ya Rwanda radio RTLM ilipotumika vibaya WaTutsi kushambuliwa kwa propaganda na Wahutu au wengine kisha historia ikatuambia 1994 ilifikia hitimisho jamii hizi za Rwanda kupata mihemuko na kuleta Maafa ya 'vita ya makundi' ikaishia Mauaji ya Kimbari.
Radio Télévision Libre des Mille Collines (RTLM) nicknamed "Radio Genocide" or "Hutu Power Radio", was a Rwandan radio station
26 December 2024
AZAM MEDIA LTD PAMOJA NA THE ISLAMIC FOUNDATION …
UJIO WA DR ZAKIR NAIK TANZANIA - RATIBA YAKE YOTE
View: https://m.youtube.com/watch?v=PLO0zcQm7ok
KWA MARA YA KWANZA TANZANIA WANAKULETEA MHADHIRI MASHUHURI WA KIMATAIFA , DKT ZAKIR NAIK AKIAMBATANA NA MWANAE SHEIKH FARIQ NAIK KATIKA MDAHALO WA MASWALI NA MAJIBU :
TAREHE 31/12/2024 MSIKITI ZINJIBAR, UNGUJA ZANZIBAR KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA
TAREHE 2/01/2025 DIAMOND JUBILEE DAM KUANZIA SAA 1 USIKU HADI SAA 6 USIKU
TAREHE 5/01/2025 BENJAMIN MKAPA STADIUM UWANJA WA TAIFA KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA
MATANGAZO HAYA YATAKUJIA LIVE - MUBASHARA KUPITIA CHANEL YA ZBC2 WEMA UNAOENDELEA
PIA TUTAKUWA MUBASHARA KATIKA DUA TV AOMBWAE NI MOLA PEKEE JESUS AND MUHAMMAD PEACE BE UPON THEM BROTHERS IN FAITH
View attachment 3187702
View attachment 3187703
View attachment 3187705
Sijaona akina Issa wa kiarabu, wanakubali kuitwa Yesu. Huyo Issa wenu alishakufa, ila Yesu wa Nazareth Yu hai ni wawili tofauti.Issa kiarabu, kiswahili yesu,nyie mna husda sana na chuki, yaani mnazungukazunguka hamueleweki hamtaki nini,si muende mkam-challenge kama mnajiamini sana,midahalo ya kisiasa mnaitaka ya dini hamuitaki
Yesu anatambulikaje huko mkuu?Usichokijua ni kwamba huyo Yesu anatambulika kwenye uislamu,
Wahubiri kama kina Mazinge wamekua wakifanya midahalo ya aina hiyo kwa miaka mingi ila hatujaona vurugu au watu kufa,ila kule Moshi walikufa watu 20 kwa kukanyagana kugombea mafuta,
Issue si mnaongelea amani?
Hiyo ZBC2 sio TV ya serikali ya Zanzibar pia?
Napingana na wewe, anapaswa alinganishwe na akina Mchungaji Gwajima, Lusekelo au Mwamposa.Muhammad anatikiwa afaninishwe na akina mtume Petro au Paulo
Muhammad siyo wa kumlinganisha na YESU KRISTO ni dhambi kubwa sana na mtakuja kuilipia
Hiyo ZBC2 sio TV ya serikali ya Zanzibar pia?
Huyuuu tapeli sanaaa