Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Punguza kiherehere wewe. Tanzania ni nchi huru na Ina kanuni zake na vigezo vya kumzuia mtu asiingie nchini.
 
Usipopigwa marufuku basi tutajua agenda hii imepangwa na uongozi uliopo.
 
Wasiwasi wa nini? Kwa nini tusimsikilize? Yeye ametembea ulimwengu mzima akihubiri - Tanzania tu iwe nongwa? Angalieni Peace TV mtamjua anasema nini
 
Mohamed hakuwah kuwa mtume ujanja ujanja wake tuu
 
Mbona wakristo mna hofu sana,acheni chuki za kipuuzi,wahubiri wangapi wa kikristo huwa wanakuja Tz
 
Huyo muhubiri apigwe marufuku,ni moja ya mawakala wa ugaidi,tuwe makini nae kukaribisha watu kama hawa nchini ni kuleta mtafaruku hasa ukizingatia mada yake imekaa kichochezi na leo ovu nyuma yake.
Ashawai kulipua wapi?
 
Acheni uoga wakristo,muende sasa mkapeleke ushaidi wa kimaandiko wa mabikira 72,na mtume kuoa binti mdogo
 
Sheikh umepotea sheikh..!
 
Mbona wakristo mna hofu sana,acheni chuki za kipuuzi,wahubiri wangapi wa kikristo huwa wanakuja Tz
Wanakujaga na agenda kama hii ya yesu kristo na Muhammad??? Kwa nini asijikite kufundisha mafundisho ya dini yake pekee
 
Comment za humu zinaonyesha kwa kiasi gani wakristo wa TZ wanachuki na Waislam na kama chuki za kiwango hicho wangekuwa nazo Waislam wa TZ bac kingewaka
Ndio unajua leo,hao sio watu mkuu
 
Serikali yetu haihusiki katika mambo ya Imani. We ulitaka ibada Yako iende,jifungie ndani kwako umuabudu Mungu wako.
 
Wanakujaga na agenda kama hii ya yesu kristo na Muhammad??? Kwa nini asijikite kufundisha mafundisho ya dini yake pekee
Mtume mwamposa kongamano lake la kuhubiri ukristo liliua watu zaidi ya 20!! Mbona mlikaa kimiya!?au haikuwa kuvuruga amani? Na kiboko ya wachawi alikuwa Live redioni anagombanisha watu kwa kuwaambia kuwa huyo mama yako mzazi unaeishi nae hapo ndio anakuroga! Hamkuona kama pia nikuhatarisha amani?!

Acheni chuki za kipuuzi
 
Kwa hio ndio tuletet huyo gaidi kisa mtume mwamposa kongamano lake liliua watu 20???huyo mwamposa unayemsema ushaona anajadili wazi yesu na Muhammad??? Ni context tunaongelea hapa...hizi ni chuki baina ya makundi makubwa ya dini,is it necessary ndio ujiulize...hilo gaidi lenu lingekuja kumuongelea Muhammad hamna mtu angehangaika nalo
 
Ukiiona mijitu mikubwa na Akili zao inabishania Dini ujue ujue hapo hamna Kitu kichwani !!
Hizo Dini mbili zinazobishaniwa zote zimeanzia Uarabuni katika miji miwili tofauti katika Nchi mbili tofauti !
Tangu wakati ule mpaka hivi sasa miji hiyo inafahamika wakazi wake ni Waarabu !
Bethlehem na Makkah ! Na ndiko walikozaliwa hao tunaowaamini sana sisi waumini wa hizo Dini mbili tuliotapakaa Duniani kote !

Mimi huwa napata shida kufahamu hao watu wa hizo Dini mbili wanabishania nini hapa Duniani ilihali njia pekee inayoweza kumaliza huu ubishi wa nani yuko sahihi na yupi hayupo sahihi ni kwenda mbinguni tu tukajionee kwa macho yetu wala si kwa kusoma vitabu vitakatifu !

Maana kwa kusoma vitabu vitakatifu pekee imeshindikana kuelewa kwa miaka zaidi ya 2000 kwamba ni wepi walio sahihi katika kuabudu !

Cha ajabu ni kwamba katika hizo Dini mbili zinazo bishaniwa sana yapo madhehebu tofauti tofauti mengi tu ambayo hayaelewani pia !

Sasa ili umalizike huu ubishi ni lazima tufike huko mbinguni tukaone kwa macho yetu nini kinachoendelea huko na tufahamishwe ni wepi wako sahihi na wepi ambao hawako sahihi !

Na njia ya kufika mbinguni ni moja tu !
Na sote tunaifahamu ila tunaiogopa kweri kweri kuipitia !
EVERYONE WANTS TO GO TO HEAVEN BUT NOBODY WANTS TO DIE 😳🀣🀣🀣🀣 !

Tubishaneni mambo ya Ubaya Ubwela tu kwa maana yapo hapa mbele yetu tunayaona !
Japo na yenyewe siku zote tunabishana tu na tutaendelea kubishana tu kama ile penati ilikuwa ni halali au lile goli alilofunga Bakka ni la mkono au vipi ?????!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜³πŸ™ŒπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…