Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Mijitu inachuki sana hii kutoka mikoani uko kwao masikini sana sababu ya michuki yao yamekimbilia uku Dar es salaam yameona maisha safi yamashiba sasa yanatala kuwapangiwa watu wa pwani maisha msijisaau migwege nyinyi pwani sio yenu na Dk anakuja kwanduguzake Wapwani tu sio uko kwenu Bala kwenye michuki fitina uchawi kuuwa Wazee wenu etu wanamacho mekundu kuuwa albino eti yapate utajili. Dar es salaam akuna upumbavu kama uwo na Ilala tu inatoa mapato ya kuendesha nch nzima mji Wawazalamu awana chuki za kidini au za kingese umasikini wa Mikoan chanzo chuki ushilikina dar uwez sikia albino sijui Bibi kizee anauwawa mijitu mijinga jinga mamako kakuzaa leo unamkodia wauwaji kisa kitoto chako kimekufa kwa malaria au surua nemonia anaenda kwa sangoma anaambiwa mamake mzazi lilivo tayali na chuki kweli linaenda kutafuta watu wakamuue mzaz wake. Mijitu ya mikanisa yao yote ipo dar es salaam kwawa Zalamu uko kwao chuki wamekimbia roo mbaya . Chungeni ndimi zenu hooooooooooo fanyeni yenu acheni yasiowausu nanyinyi leteni mazungu yenu mje muwaubilie waumini wenu.. Issa muhamad sio wenu amna hati miliki ya yoyote acheni upumbavu. Aman yetu aikujengwa kwanamna nyinyi mnataka leten wenu sawa wenzeni nao wanaleta wao sawa. Amtaki leten fujo muone idadi yetu kwenye ili Jiji ndio mtajua mlivo wapumbavu
 
TUNAVIJANA WA HOVYO SANA KATIKA NCHI HII, HIVI KWELI MTU ANASHINDWA KUELEWA MISIMAMO YA INDIA JUU YA DINI YA UISLAM, KWAIYO ULITEGEMEA WANGEMUONAJE KAMA SIO GAIDI.
KWANZA UGAIDI NI NINI ? SEMA MNAOGOPA JAMAA KAJA KIPINDI KIBAYA ,WATU WAMETOKA KUMSHEREKEA YESU ,YEYE ANAKUJA KUSAFISHA MAMBO JUU YA YESU IKIWEMO UUNGU WAKE.
HUU NI KUHADHARA WA WOTE NA KUNA NAFASI YA KUULIZA MASWALI, KAMA ATAKACHO ONGEA SIO SAHIHI MTAMUULIZA, NYIE TULIEN
 
Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.

Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?

View attachment 3187483
Roho mbaya tu manogopa nini kunawahubiri wangap wamekuja nchini mliona waislam tumewapinga?
 
Mijitu yenyewe mioga mioga afu mnachochea moto mnadanganyana kuwa sasa mpo kwenye ili jiji aya leteni fujo Dk akifanya shuhuli yake. Ndio mtajua kwanini popo anatembeya usiku
 
Wewe endelea kujilisha upepo tu kuwa mid-summer tende huwa zimeiva, sisi tunachojua Isaka ndio mtoto wa Ibrahimu aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinjwa na sio Ishmael kama mlivyoaminishwa.
Ishmael ni mtoto wa ibrahim,wa kwanza,ndiye mwenye sifa ya kuwa mwana wa pekee wa ibrahim,alipozaliwa isaka ishmael akapoteza sifa ya mwana wa pekee na isaka mtoto wa pili wa ibrahim katu hawezi kuwa mwana wa pekee sababu ishmael alishazaliwa,hiyo ni kama uji ndani ya fuvu lako unafanya kazi,laa kama haufanyi kazi ndiyo utaona isaka ni mwana wa pekee wa ibrahim
 
TUNAVIJANA WA HOVYO SANA KATIKA NCHI HII, HIVI KWELI MTU ANASHINDWA KUELEWA MISIMAMO YA INDIA JUU YA DINI YA UISLAM, KWAIYO ULITEGEMEA WANGEMUONAJE KAMA SIO GAIDI.
KWANZA UGAIDI NI NINI ? SEMA MNAOGOPA JAMAA KAJA KIPINDI KIBAYA ,WATU WAMETOKA KUMSHEREKEA YESU ,YEYE ANAKUJA KUSAFISHA MAMBO JUU YA YESU IKIWEMO UUNGU WAKE.
HUU NI KUHADHARA WA WOTE NA KUNA NAFASI YA KUULIZA MASWALI, KAMA ATAKACHO ONGEA SIO SAHIHI MTAMUULIZA, NYIE TULIEN
India kuna raia Waislamu milioni 170.
 
Mshakuwa wengi Dar es salaam sasa mnadanganywa ndio wenye ili jiji chocheeni moto mtajua tu ukweli kuwa mpo wengi Dar es salaam au mlidanganywa.. nyie leo ndio wakuwazuiwa wenye mji wao.!!!!!! Leteni fujo.
 
Mijitu inachuki sana hii kutoka mikoani uko kwao masikini sana sababu ya michuki yao yamekimbilia uku Dar es salaam yameona maisha safi yamashiba sasa yanatala kuwapangiwa watu wa pwani maisha msijisaau migwege nyinyi pwani sio yenu na Dk anakuja kwanduguzake Wapwani tu sio uko kwenu Bala kwenye michuki fitina uchawi kuuwa Wazee wenu etu wanamacho mekundu kuuwa albino eti yapate utajili. Dar es salaam akuna upumbavu kama uwo na Ilala tu inatoa mapato ya kuendesha nch nzima mji Wawazalamu awana chuki za kidini au za kingese umasikini wa Mikoan chanzo chuki ushilikina dar uwez sikia albino sijui Bibi kizee anauwawa mijitu mijinga jinga mamako kakuzaa leo unamkodia wauwaji kisa kitoto chako kimekufa kwa malaria au surua nemonia anaenda kwa sangoma anaambiwa mamake mzazi lilivo tayali na chuki kweli linaenda kutafuta watu wakamuue mzaz wake. Mijitu ya mikanisa yao yote ipo dar es salaam kwawa Zalamu uko kwao chuki wamekimbia roo mbaya . Chungeni ndimi zenu hooooooooooo fanyeni yenu acheni yasiowausu nanyinyi leteni mazungu yenu mje muwaubilie waumini wenu.. Issa muhamad sio wenu amna hati miliki ya yoyote acheni upumbavu. Aman yetu aikujengwa kwanamna nyinyi mnataka leten wenu sawa wenzeni nao wanaleta wao sawa. Amtaki leten fujo muone idadi yetu kwenye ili Jiji ndio mtajua mlivo wapumbavu
Hasira ya nini ?
Nakemea hiyo roho ya hasira kwa jina la YESU !
Amina.
 
Mshakuwa wengi Dar es salaam sasa mnadanganywa ndio wenye ili jiji chocheeni moto mtajua tu ukweli kuwa mpo wengi Dar es salaam au mlidanganywa.. nyie leo ndio wakuwazuiwa wenye mji wao.!!!!!! Leteni fujo.
Rabbon
 
Ishmael ni mtoto wa ibrahim,wa kwanza,ndiye mwenye sifa ya kuwa mwana wa pekee wa ibrahim,alipozaliwa isaka ishmael akapoteza sifa ya mwana wa pekee na isaka mtoto wa pili wa ibrahim katu hawezi kuwa mwana wa pekee sababu ishmael alishazaliwa,hiyo ni kama uji ndani ya fuvu lako unafanya kazi,laa kama haufanyi kazi ndiyo utaona isaka ni mwana wa pekee wa ibrahim
Suala la kuwa mtoto wa kwanza na quran kusema uongo juu ya ismail kutaka kutolewa sadaka ya kuchinjwa wakati Isaka ndio alietaka kutolewa sadaka, hapo vipi?
 
Kama alitakiwa kutolewa sadaka mtoto wa pekee wa ibrahim,huyo mtoto wa pekee hawezi kuwa isaka, sababu ishmael alishazaliwa,hapo utajua nani muongo Kati ya Quran na biblia
 
atakuja hapa, atalitukana Jina la Yesu hadi achoke, atarudi kwao lakini hatakuwa amebadili chochote. alikuwa Uganda. mtangulizi wake yule alikuwa na asili ya south africa, alikufa mdomo wazi, kuna clip yake siku anakata roho alipiga bonge la yote, inaaminika ndio macho yake ya rohoni yalifunguka akaona kule anakoenda, jehanum ya moto, kutumikia dini ya uongo miaka yote, kutukana ukristo kote, kumbe shetani alikuwa anamdanganya tu. kifo chake kiliumiza wengi.
 
Kama alitakiwa kutolewa sadaka mtoto wa pekee wa ibrahim,huyo mtoto wa pekee hawezi kuwa isaka, sababu ishmael alishazaliwa,hapo utajua nani muongo Kati ya Quran na biblia
Daaaa kweli nimeamini Shetani ambae ni = na allah anawafuasi wasiojielewa
 
Katika Nchi ambayo matundu ya Vyoo hayatoshi Mashuleni ni Ujinga kabisa Kuweka Midahalo ya Kina Mtume na Yesu ni Ujinga kabisa
 
Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.

Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
Mimi nikupe ushauri tu, kwakuwa dunia imebadilika badili na dini yako ili ujiunge na dini zinazobadilika kutokana na mazingira na wakati.
Watu ambao hamkupita madrassa mna matatizo sana yaani ndani ya uislamu mpo mguu ndani mguu nje, tokeni kabisa tuone kama uislamu utapungukiwa kitu kwa kupungua kwenu.
Kwa taarifa yako hata dunia ibadilike mara 50 Bado mafundisho ya uislamu,Imani misimamo , sera na taratibu zake haziwezi kubadilika.
Ukitaka kubadilika badilika mwenyewe ila waislamu wanaotambua thamani ya dini yao hawatabadilika milele.
By the way MIMI SIUNGI MKONO MIFUMO YA UFUNDISHAJI WA ZAKIR NAIK KWASABABU NI MTU WA BIDAA NA YUKO MBALI NA SUNNA ZA MTUME
صلى الله عليه وآله وسلم
 
Katika Nchi ambayo matundu ya Vyoo hayatoshi Mashuleni ni Ujinga kabisa Kuweka Midahalo ya Kina Mtume na Yesu ni Ujinga kabisa
Kwani nchi nzima imeamuriwa kushiriki mdahalo?..wachungaji waponyaji huja hapa na makongamano, ulikua na mtazamo huohuo
 
Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.

Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
Kweli kaka. Watu wako obsessed na dini kuliko matendo yetu.
 
Back
Top Bottom