Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wazee wa ngamia hao wanasapotiana sana.Kwa mantiki hii Hawa wadhamini wanaunga mkono ugaidi? Kama kweli jamaa anatuhumiwa hii ni red flag,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa ngamia hao wanasapotiana sana.Kwa mantiki hii Hawa wadhamini wanaunga mkono ugaidi? Kama kweli jamaa anatuhumiwa hii ni red flag,
Roho mbaya tu manogopa nini kunawahubiri wangap wamekuja nchini mliona waislam tumewapinga?Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
Ishmael ni mtoto wa ibrahim,wa kwanza,ndiye mwenye sifa ya kuwa mwana wa pekee wa ibrahim,alipozaliwa isaka ishmael akapoteza sifa ya mwana wa pekee na isaka mtoto wa pili wa ibrahim katu hawezi kuwa mwana wa pekee sababu ishmael alishazaliwa,hiyo ni kama uji ndani ya fuvu lako unafanya kazi,laa kama haufanyi kazi ndiyo utaona isaka ni mwana wa pekee wa ibrahimWewe endelea kujilisha upepo tu kuwa mid-summer tende huwa zimeiva, sisi tunachojua Isaka ndio mtoto wa Ibrahimu aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinjwa na sio Ishmael kama mlivyoaminishwa.
India kuna raia Waislamu milioni 170.TUNAVIJANA WA HOVYO SANA KATIKA NCHI HII, HIVI KWELI MTU ANASHINDWA KUELEWA MISIMAMO YA INDIA JUU YA DINI YA UISLAM, KWAIYO ULITEGEMEA WANGEMUONAJE KAMA SIO GAIDI.
KWANZA UGAIDI NI NINI ? SEMA MNAOGOPA JAMAA KAJA KIPINDI KIBAYA ,WATU WAMETOKA KUMSHEREKEA YESU ,YEYE ANAKUJA KUSAFISHA MAMBO JUU YA YESU IKIWEMO UUNGU WAKE.
HUU NI KUHADHARA WA WOTE NA KUNA NAFASI YA KUULIZA MASWALI, KAMA ATAKACHO ONGEA SIO SAHIHI MTAMUULIZA, NYIE TULIEN
Hasira ya nini ?Mijitu inachuki sana hii kutoka mikoani uko kwao masikini sana sababu ya michuki yao yamekimbilia uku Dar es salaam yameona maisha safi yamashiba sasa yanatala kuwapangiwa watu wa pwani maisha msijisaau migwege nyinyi pwani sio yenu na Dk anakuja kwanduguzake Wapwani tu sio uko kwenu Bala kwenye michuki fitina uchawi kuuwa Wazee wenu etu wanamacho mekundu kuuwa albino eti yapate utajili. Dar es salaam akuna upumbavu kama uwo na Ilala tu inatoa mapato ya kuendesha nch nzima mji Wawazalamu awana chuki za kidini au za kingese umasikini wa Mikoan chanzo chuki ushilikina dar uwez sikia albino sijui Bibi kizee anauwawa mijitu mijinga jinga mamako kakuzaa leo unamkodia wauwaji kisa kitoto chako kimekufa kwa malaria au surua nemonia anaenda kwa sangoma anaambiwa mamake mzazi lilivo tayali na chuki kweli linaenda kutafuta watu wakamuue mzaz wake. Mijitu ya mikanisa yao yote ipo dar es salaam kwawa Zalamu uko kwao chuki wamekimbia roo mbaya . Chungeni ndimi zenu hooooooooooo fanyeni yenu acheni yasiowausu nanyinyi leteni mazungu yenu mje muwaubilie waumini wenu.. Issa muhamad sio wenu amna hati miliki ya yoyote acheni upumbavu. Aman yetu aikujengwa kwanamna nyinyi mnataka leten wenu sawa wenzeni nao wanaleta wao sawa. Amtaki leten fujo muone idadi yetu kwenye ili Jiji ndio mtajua mlivo wapumbavu
RabbonMshakuwa wengi Dar es salaam sasa mnadanganywa ndio wenye ili jiji chocheeni moto mtajua tu ukweli kuwa mpo wengi Dar es salaam au mlidanganywa.. nyie leo ndio wakuwazuiwa wenye mji wao.!!!!!! Leteni fujo.
Suala la kuwa mtoto wa kwanza na quran kusema uongo juu ya ismail kutaka kutolewa sadaka ya kuchinjwa wakati Isaka ndio alietaka kutolewa sadaka, hapo vipi?Ishmael ni mtoto wa ibrahim,wa kwanza,ndiye mwenye sifa ya kuwa mwana wa pekee wa ibrahim,alipozaliwa isaka ishmael akapoteza sifa ya mwana wa pekee na isaka mtoto wa pili wa ibrahim katu hawezi kuwa mwana wa pekee sababu ishmael alishazaliwa,hiyo ni kama uji ndani ya fuvu lako unafanya kazi,laa kama haufanyi kazi ndiyo utaona isaka ni mwana wa pekee wa ibrahim
Kama alitakiwa kutolewa sadaka mtoto wa pekee wa ibrahim,huyo mtoto wa pekee hawezi kuwa isaka, sababu ishmael alishazaliwa,hapo utajua nani muongo Kati ya Quran na bibliaSuala la kuwa mtoto wa kwanza na quran kusema uongo juu ya ismail kutaka kutolewa sadaka ya kuchinjwa wakati Isaka ndio alietaka kutolewa sadaka, hapo vipi?
Daaaa kweli nimeamini Shetani ambae ni = na allah anawafuasi wasiojielewaKama alitakiwa kutolewa sadaka mtoto wa pekee wa ibrahim,huyo mtoto wa pekee hawezi kuwa isaka, sababu ishmael alishazaliwa,hapo utajua nani muongo Kati ya Quran na biblia
Umekwama eeh na mashudu yako uliyolishwa maisha yako yote?Daaaa kweli nimeamini Shetani ambae ni = na allah anawafuasi wasiojielewa
Mimi nikupe ushauri tu, kwakuwa dunia imebadilika badili na dini yako ili ujiunge na dini zinazobadilika kutokana na mazingira na wakati.Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.
Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
Kwani nchi nzima imeamuriwa kushiriki mdahalo?..wachungaji waponyaji huja hapa na makongamano, ulikua na mtazamo huohuoKatika Nchi ambayo matundu ya Vyoo hayatoshi Mashuleni ni Ujinga kabisa Kuweka Midahalo ya Kina Mtume na Yesu ni Ujinga kabisa
Kweli kaka. Watu wako obsessed na dini kuliko matendo yetu.Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.
Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
Na anakula mdudu ?Hata Lyatonga alikuwa akivaa hiyo kofia.