Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Issa kiarabu, kiswahili yesu,nyie mna husda sana na chuki, yaani mnazungukazunguka hamueleweki hamtaki nini,si muende mkam-challenge kama mnajiamini sana,midahalo ya kisiasa mnaitaka ya dini hamuitaki
Sawa kwa kiarabu chenu ni issa, lakini issa wa kiarabu kazaliwa kwenye mtende wakati Yesu, Jesus alizaliwa kwenye holi la ng'ombe
 
Ukiangalia tu orodha ya hao wadhamini utagundua huyu ni gaidi ndani ya magaidi wenzake
 
Serikali yetu haihusiki katika mambo ya Imani. We ulitaka ibada Yako iende,jifungie ndani kwako umuabudu Mungu wako.
ZBC2 inafanya nini katika udhamini wa hilo tukio??
 
Wavaaa kobazi ndio wanaongoza ndio marefa wa pande zote zenji na bara unafikili watakuelews
 
Acha
 
Reynhard Bonke alikuwa anakuja nchini mara kwa mara kufanya mihadhara kuthibitisha kuwa Ukristo ndiyo dini sahihi kuliko dini zote na Yesu ndiyo njia na uzima. Katika miaka yote hiyo hatukuwahi kusikia Waislam wakiitaka Serikali imzuie. Huu muhadhara ni wa kawaida kama ile ya akina Mazinge. Hakuna aliyelazimishwa kuhudhuria ukitaka nenda hutaki baki nyumbani kwako. Msitake kuzua taharuki isiyo ya lazima. Hii nchi ni ya Watanzania wote na si Wakristo peke yao.
 
Sawa kwa kiarabu chenu ni issa, lakini issa wa kiarabu kazaliwa kwenye mtende wakati Yesu, Jesus alizaliwa kwenye holi la ng'ombe
Hili la ng'ombe halikosi mtende, bethlehem tende kibao,holi siyo ukumbi bali sehemu ng'ombe na mifugo mingine hunywea maji,na muda aliozaliwa yaani mid-summer tende huwa zimeiva
 
Hili la ng'ombe halikosi mtende, bethlehem tende kibao,holi siyo ukumbi bali sehemu ng'ombe na mifugo mingine hunywea maji,na muda aliozaliwa yaani mid-summer tende huwa zimeiva
Wewe endelea kujilisha upepo tu kuwa mid-summer tende huwa zimeiva, sisi tunachojua Isaka ndio mtoto wa Ibrahimu aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinjwa na sio Ishmael kama mlivyoaminishwa.
 
Nani alikuambia dini inabadilika?. Vitu vya maana kwako ni vipi kuliko dini?.
 
Huomkutano unamuhusu huyo shehe na watu waimaniyake.
Jesus anahusika nini kwenyemamboyao, amawanatafuta kiki.

Hawajamaa wamekuwa kama wasanii, msanii akiona anadoda anaanza kutafuta bifu namsanii mkubwa Ili apate tension, nikama willy Paul na Diamond tu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hayo mambo kama hayo ni ujinga tu Serikali inashindwa kuleta wataalamu mbali mbali wanao husika na masuala ya kiuchumi na innovation Halafu wakafanya semina ktk uwanja wa Taifa ili watu wapate elimu ya bure kuhusu maendeleo Wana tuletea mambo ya dini ktk Karne hii period

Shida ni kwamba Viongoz wengi Wana amini ktk kuwatawala watu Kwa kutumia mwamvuli wa Imani za kidini that's why wanaruhusu hayo mambo
 
serikali ipi ipinge, hii hii ya mvaa ushungi>......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…