kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tangu wakati haijapigwa ban uliathirika nini na sasa imepigwa ban umefaidika nini kujitia kwenye mambo ya watu yasiyo wahusu huo unaitwa ni udwanzi wa kibongo kupenda umbeya na roho mbaya kwa mambo yasiyokuhusu!Wewe kilaza hata TV ya huyo sheikh imepigwa marufuku na kufungiwa nchi nyingi tu zikiwemo Uingereza na Canada. Unaelewa tolerance kubwa ya kidini iliyopo Uingereza ukipigwa ban ina maana una matatizo makubwa sana??
Kumbe unahisi nilifikiri unajua.Tanzania waislam ni 37% pekee ukiondoa Zanzibar nahisi wanaweza kufika 25%
Kupingwa, kukosolewa, comedy za dini au hata kukejeliwa dini yako sio chuki, ni sehemu ya free speech. Chuki ni kuhamasisha vurugu(violence) pamoja na utengano kama alivyofanya huyu sheikh hapaComment za humu zinaonyesha kwa kiasi gani wakristo wa TZ wanachuki na Waislam na kama chuki za kiwango hicho wangekuwa nazo Waislam wa TZ bac kingewaka
Usifiche chuki zako kwenye mwamvuli wa free speech hapo kama Marekani wanavyohamasisha ushoga chini ya mwamvuli wa haki za binadamuKupingwa, kukosolewa, comedy za dini au hata kukejeliwa dini yako sio chuki, ni sehemu ya free speech. Chuki ni kuhamasisha vurugu(violence) pamoja na utengano kama alivyofanya huyu sheikh hapa
View attachment 3187549
Hii umepost kwa lengo gani sasa? ndio huyo muhubiri atacontrol jeshi la Nigeria?Kupingwa, kukosolewa, comedy za dini au hata kukejeliwa dini yako sio chuki, ni sehemu ya free speech. Chuki ni kuhamasisha vurugu(violence) pamoja na utengano kama alivyofanya huyu sheikh hapa
View attachment 3187549
Wewe una matatizo na sidhani kama una uelewa mzuri.Hapa kinachokwaza Watu ni Serikali kurasimisha mahubiri ya chuki.kwani jf ni Serikali?mbona midahalo hiyo ya kijinga ipo mingi tu huko vijiweni,Watu tunasimama tunasikikiliza tunaenda zetu hatujalalamika.Wakristo waoga saana kukutana na ukweli mnakimbilia kuchochea chuki, mfano mkubwa huu mtandao wa jf ufungiwe kwakua members wanatukana saana uslam, shida waislam hawawezi tukana ukristo! So tuliza mshono
Hayo yote hawaoni kuwa ni tatizo wamehalalisha kabisa watu waendelee kutapeliwa na kupotoshwa.Wewe Kafiri acha kutema matapishi hapa kwa chuki za kijinga,
Hao mitume wenu mbona hua hulalamiki?
Yule Kiboko ya wachawi kutoka DRC aliwapiga hela watu kisha akarudi kwao na kuwacheka ulitoa hili povu?
Mwaka 2020 kule Moshi walikufa watu 20 wakigombania kupaka mafuta ya upako,ulitoa hili povu? hao mitume wenu kila siku wanajaza watu na kuwauzia udongo na mafuta,mbona hua upo kimya?
Kwa hiyo hao mtume unaolalamikia ulishaona wanazungumzia mtume wenu Mohamed kwenye madhabahu yao?Hizo chuki zenu kwa waislamu ndio zimeanza leo tu? unataka kusema hizo chuki hazikuwepo ila zimekuwepo baada ya huyo muhubiri anayekuja? hao wachungaji wenu mbona waislamu hua hawalalamiki? TB Joshua alikuja,nani alilalamika?
Wakristo hatuna shida na huyo bwana kuja kufundisha, tunacholalamikia ni huyo jamaa kuwa muislamu halafu anataka kuleta mdahalo wa YESU KRISTO na Mohamed sasa huoni yeye hapo tayari ana upande wake wa kuusifia huku kwa ukristo kuuenezea chuki na mifarakano?Dah wakristo wanachuki kali sana,,,, sijui shida nini wanakondoo wa bwana!!
Mbona kitabu chenu kinafundisha upendo kila Kona,
Au nyie sio wafuasi wa kristu😥
Basi huo ndo ushahidi tosha kuwa kesi zake zimechochewa kisasa.Amepigwa marufuku Bangladesh pia ambayo 90% ni Waislamu.
Twende taratibu bwana mkubwa;Kumbe unahisi nilifikiri unajua.
Usichokijua ni kwamba huyo Yesu anatambulika kwenye uislamu,Kwa hiyo hao mtume unaolalamikia ulishaona wanazungumzia mtume wenu Mohamed kwenye madhabahu yao?
Wadhamini kama tamasha la michezoHao wadhamini hapo chini uwezi waona kwenye tamasha la TYK
Kwa hiyo hukuandika kua Unahisi? hili gazeti haliwezi kubadili hoja ya wewe kuandika kwa kuhisi na sio kwa kujua.Twende taratibu bwana mkubwa;
Tanganyika uislam ule uliokomaa kabisa Upo mikoa hii;
Lindi,Mtwara,Pwani,Tanga na Dar japo kwa mbali sana……..Maana kwa sasa Dar Wakristo ni wengi sana kuliko Waislam kutoka na uvamizi mkubwa sana wa wageni toka mikoa mingine
Kanda ya Ziwa yote ni ukristo umeenea Tena kuna sehemu ukienda unaweza usikute msikiti ata mmoja
Kanda ya Magharibi pia hali ni hiyo hiyo,Ukristo ni mkubwa sana kuliko ata Uislam
Kanda ya kaskazini ukiiondoa Tanga ukristo umetamalaki kila sehemu na kuna sehemu ukifka ukasema wewe Muislam wataanza kujitenga na wewe kuwa una majini
Kanda ya Nyanda za Juu kusini,huku ndipo Ukristo umepanda juu sana………huku ukiwa Muislam wanakuona wewe kama gaidi tu
Iko tofauti ya wahubiri wa kikristo na kiislam. WAKRISTO hawana vita na madhehebu mengine. Wanamhubiri Yesu wao watu waokoke. Hawaanzishi vikundi vya misituni. Hawachinji waumini wao wakibadili dini.Kusikia muhubiri wa kiislam anakuja,chuki zimewajaa kama zote,
Kila siku wachungaji kutoka nje wanakuja ila huoni hili povu,
Yule Kiboko ya wachawi alitoka DRC akawapiga hela kisha akarudi kwao kuwacheka ila wala hawaoni tabu,kule moshi walikufa wato 20 kwa kukanyagana wakigombea kupaka mafuta ila hatukuona hili povu.
Ndiyo uende diamond jubilee ukambishieHakuna uhusiano baina ya Yesu kristo na Mohamed, huo mdahalo una ajenda ovu ya kueneza chuki za kidini na ugaidi. Watanzania hatukubaliani na mdahalo huo, serikali iupige marufuku. Lakini kwa kuwa serikali inaongozwa na wa dini hiyo hawawezi kuona HATARI YA KURUHUSU jambo baya kama hilo.
Ukifikiria kwa upande wa pili inaweza kuwa msaada kwetu kwa kuwatambua washirika wa mrengo huo na wadhamini wao pia.Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
Huyo muhubili emefanya ziara nchini uganda na kenya ambapo waisilam hawafiki hata%10 sembuse Tz %37?Tanzania waislam ni 37% pekee ukiondoa Zanzibar nahisi wanaweza kufika 25%