Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Safi sana!
Sasa kama Yesu anaongelewa kwenye uislamu kwa nini ninyi waislamu hamtaki kukiri kwamba YESU KRISTO ni bwana na mwokozi wenu?
 
Iko tofauti ya wahubiri wa kikristo na kiislam. WAKRISTO hawana vita na madhehebu mengine. Wanamhubiri Yesu wao watu waokoke. Hawaanzishi vikundi vya misituni. Hawachinji waumini wao wakibadili dini.
Punguza chuki za kijinga wewe Kafiri,

Hakuna hoja uliyoiweka hapa zaidi ya chuki za kijinga,hakuna hoja ya kujibu hapa.
 
Eb
Wewe kilaza hata TV ya huyo sheikh imepigwa marufuku na kufungiwa nchi nyingi tu zikiwemo Uingereza na Canada. Unaelewa tolerance kubwa ya kidini iliyopo Uingereza ukipigwa ban ina maana una matatizo makubwa sana??
u nenda kamsaidie baba yako kupika supu ya mapupu huko utakufa masikini wewe na familia yako
 
Iko tofauti ya wahubiri wa kikristo na kiislam. WAKRISTO hawana vita na madhehebu mengine. Wanamhubiri Yesu wao watu waokoke. Hawaanzishi vikundi vya misituni. Hawachinji waumini wao wakibadili dini.
Kwa imani ya waislam yesu siyo wa wakristu wala hakuwa mkristu,Wana haki ya kumuongelea na kuhubiri jina lake
 
True, hapo nimekupata!!
Mwisho yatazuka mambo ya dini ipi ya kweli,,,
Mwisho upande mmoja utajiona washindi, mwingine wajione wamepotea..... Mwisho zitaibuka hisia za kila upande kutetea imani yake, na mwisho mpasuko na udini😳

Kweli azuiwe, au abadilishe hyo mada.....
 
Huyo muhubili emefanya ziara nchini uganda na kenya ambapo waisilam hawafiki hata%10 sembuse Tz %37?
Unajuaje kama walimruhusu kwa sababu za kisiasa??
 
Wachungaji uchwara tu , waje tu ,watakutana na Nguvu ya Mungu isio ya kawaida , sie sio mitume Askofu, wachugaji, hatumiloki kanisa ,ila Mungu wa MBINGUNI alie hai anatutumia apendavyo nasi tupo na furaha katika hili maana ulimwengu sio wa kwetu
 
Pumbafuuu Kabisa Huyo gaidi anakuja kufanya Nini Kwetu,,Mambo ya Yesu Sijui Mohammad yanatusaidia Nini Sisi!??? please Serikali kataeni upuuuzi Huo..Kazi kuingilia Dini za Watu Tuu.Tuache ..Takataka Hiyo hatuitaki Hapa.
Kama anafanya hayo akiwa Vatican kwenye makao makuu yenu anasikilizwa na kuulizwa maswali, wewe hata biblia hujawahi kuishika unakuja na ngonjera zako. Kasikilize inshallah utaijua haki na baadae utasilimu
 
Tofautisha kutapeli pesa na kuleta mahubiri ya chuki,kama nakuja tu kuongelea habari za Uislamu na Mohamed tu na akusanye sadaka asepe sidhani kama kuna takayelalamika.
Anahubiri vipi 'chuki'?!..hebu fafanua
 
Wewe ni mjinga na huna akili,uislamu haumuongelei kama mwokozi,

Nimefuatilia comments zako hapa JF una chuki na uislamu,
So,najua hapa najadili na mtu wa aina gani.
Hujitambui wewe kiazi.
Sasa mseme mnaenda kumjadili Isa bin Marium sio YESU KRISTO.
 
Nchi ina wahindu hii,na Mungu wao ng'ombe mnamchinja,kumning'iniza buchani na kumla supu kila siku,ulisikia wahindu kupandwa na hisia kali za kidini au kulalamika?
 
Umewahi kusikiliza mahubiri ya kina Mazinge na wahubiri wa Kikristo?

Hayo mahubiri yamekuwepo kwa miaka mingi sana,
Je kulitokea mpasuko gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…