Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Midahalo ya wale mitume na mikesha ya maombezi kwa Mkapa inaruhusiwa ila kwa huyu mhindi ukakasi unatoka wapi? Atahubiri kama wale wazungu wengine tu tuwe wavumilivu
 
Kongamano la k1s3ng3, wahudhuriaji nao laziwa wawe w@s3ng3
 
Midahalo ya wale mitume na mikesha ya maombezi kwa Mkapa inaruhusiwa ila kwa huyu mhindi ukakasi unatoka wapi? Atahubiri kama wale wazungu wengine tu tuwe wavumilivu
Hao mitume na mikesha yao walikuwa wanahubiri kuhusu nn afu huyu mhindi anakuja kuongea nn? Ww huoni point ya huo mkutano inahusu nn ww huoni kuna tatizo tayari hapo?
 
Kama Yesu ni WA wote na Mohamed ni mtume wa wote msikasirike au kukereka akihubiriwa na kuchambuliwa msiamzishe jazba na vurugu. Quran iko wazi na tunayo.
Muhammad sio mtume wa wote kwa sababu nyinyi hamumtambui na wala kwenye Bible yenu haimtamui.
Lakini kwa waisilam Yesu wanamtambua na Qruan ina mtambua na kwenye uisilam unamtambua mama yake yesu kama mwanamke mtukufu kuliko wanawake wote.
 
Kwani atheist hawezi kufanya hivyo??
Hujawahi kuona watu wasio na vyama vya siasa wakati wa uchaguzi wanaichagua CCM au CHADEMA??
Id zinazo anzisha mijadala hiyo hapa jf zina julikana na zote milengo yao ya kidini inajulikana.
 
Huu ni ushahidi tosha kuwa watu wanaofanya kazi za Mungu hupigwa vita kwelikweli, hata Yesu alipigwa vita na watu wake mpaka alisalitiwa na mwanafunzi wake.
 
Wewe kilaza hata TV ya huyo sheikh imepigwa marufuku na kufungiwa nchi nyingi tu zikiwemo Uingereza na Canada. Unaelewa tolerance kubwa ya kidini iliyopo Uingereza ukipigwa ban ina maana una matatizo makubwa sana??
Mbona hata Makonda amepigwa marufuku USA, wakati huku kwetu ni mkuu wa mkoa?
Kila nchi ina taratibu zake.
 
Kwani wakristo wana hati miliki ya yesu kiasi kwamba hatakiwi kujadiliwa na watu wengine tofauti na wao?
 
Huyo muhubiri apigwe marufuku,ni moja ya mawakala wa ugaidi,tuwe makini nae kukaribisha watu kama hawa nchini ni kuleta mtafaruku hasa ukizingatia mada yake imekaa kichochezi na leo ovu nyuma yake.
Yaani Ina maana wewe uko vizuri kwenye usalama Zaid ya waliopewa jukum la kwenye hiko kitengo??

Acha ujinga na upuuzi kiongozi, imani na dini visikuendeshe hii ni wew tu kuamua ima usikilize au usisikilize.
 
Asante kwa jibu moja. Je naweza kupewa kibali kumhuburi Yesu Uarabuni ? Je, Zanzibar tu naweza kupewa ardhi ya kujenga Kanisa? Nikinyimwa sio chuki ya kidini ?
Sasa unaniuliza hayo maswali mm naishi huko uarabuni?
Kwa hiyo sasa hivi Tz waisilam wakitaka muhubili dini yao waombe ruhusa kwenu nyinyi wakristo?
 
Ni sawa na dereva mlevi anayesababisha ajali kwa familia yake anayoiendesha.
Kwa hoja hiyo ina onesha kuwa hao ni wahuni wasaka madaraka hawana uhusiano wowote na dini.
 
Diplomasia Ina mipaka yake kiongozi, alafu kuwa kwenye diplomasia sio kupangiwa Kila kitu.

Tanzania Iko vizuri saana kwenye usalama, Kwa maana hiyo uchunguzi wakutosha umefanyika dhidi yake na ndo maana akaruhusiwa.

Hizo mada zake ni zakawaida saana alafu sio mara ya kwanza kusikika, Kuna mada nyingi kama hizo zimeongelewa na akina mazinge pamoja na mapasta mbalimbali mbona hukuwa na hofu nazo??

Kikubwa Cha kujifunza acha kuendeshwa na imani, chukua imani yako iweke moyon mwako we ndo uiendeshe.

Haya mambo yakawaida saana kama utachukulia kawaida.
 
Kwa hoja hiyo ina onesha kuwa hao ni wahuni wasaka madaraka hawana uhusiano wowote na dini.
Wanao uhusiano na dini,
Itikadi za dini ndio zimewaongoza kufanya hivyo.
 
Sasa unaniuliza hayo maswali mm naishi huko uarabuni?
Kwa hiyo sasa hivi Tz waisilam wakitaka muhubili dini yao waombe ruhusa kwenu nyinyi wakristo?
Samahani, wewe hutoi kibali, je serikali za Uarabuni wanaweza kunipa kibali kumhuburi Yesu na kumponda Mohamed?
 
Kwani mkuu nyinyi mna hati miliki ya yesu mpaka watu wengine wasiwe na haki ya kumuongelea isipo kuwa nyinyi?
Kumbuka Yesu ni nabii kwenye uisilam.
Unaona ni sahihi dini moja kuzungumzia mambo ya dini nyingine? Au ni bora zaidi kila dini ikajikita kwenye malengo yake mahsusi?
 
Wanao uhusiano na dini,
Itikadi za dini ndio zimewaongoza kufanya hivyo.
Osama hakuanzisha Alqida ili kupambana na dini zingine bali akianzisha kundi hilo kupambana na uvamizi na uporaji wa Marekani na vibaraka wake kwenye nchi za watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…