Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Hii comment ingekuwa pinned juu kabisa, kila mtu aione.Nashanga humu JF ni mahodari kuukashifu na kuutukana Uislamu na Kiongozi wake mkuu. Leo mtetezi anakuja badala waende wakamprove wrong, wanaililia Serikali.
Na tulishakubaliana Allah ndie amaepiganiwa kwa sababu hawezi kujipigania ila Yesu anajipigania yeye mwenyewe.
Jamaa katoka kumwaga povu kuhusu ujio wa Sultan zanzibar, kahamia kwa Dr Zakir. Ni mtafutano kila sehemu 🤣