Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Nashanga humu JF ni mahodari kuukashifu na kuutukana Uislamu na Kiongozi wake mkuu. Leo mtetezi anakuja badala waende wakamprove wrong, wanaililia Serikali.
Na tulishakubaliana Allah ndie amaepiganiwa kwa sababu hawezi kujipigania ila Yesu anajipigania yeye mwenyewe.
Hii comment ingekuwa pinned juu kabisa, kila mtu aione.

Jamaa katoka kumwaga povu kuhusu ujio wa Sultan zanzibar, kahamia kwa Dr Zakir. Ni mtafutano kila sehemu 🤣
 
Hao wote uliowataja wote fake tu na mkristu anaejielewa hawezi kuwasapoti.

Lakini, shida ya huyo shekhe Dr. Zakir Naik ni kuwa anafuga majin mengi sana takribani elfu 80 Mpaka India ilibidi wamkimbize, sasa nani anataka aje nayo huko bongo, jamani tutapata shida nani anataka hizo shida ?
Rubbish.
 
Mkuu usicho kielewa ni kipi hapo?
Yesu ndani ya uisilam anatambulika kama nabii hivyo akiongelewa ataongelewa kwa mkitadha wa unabii wake kwa mujibu wa Quran kama wanavyo ongelewa manabii wengine.
Huwezi kuwakataza waisilam kumuongelea nabii wao.

Lakini nyinyi wakristo hamuwezi kuwa na haki ya kumuongelea Muhammad kwa sababu hamumtambui na wala kitabu chenu hamumtambui.

Nabii pekee ambaye ikimgusa moja kwa moja una kuwa umeugusa ukristo ni Paulo kwa sababu yeye ndo aliye uhasisi ukristo, Yesu hakuwahi kuuhasisi ukristo na mpaka ana kufa hakuacha dini inayo itwa ukristo.

Kwahiyo kuanzia sasa waisilam waache kuwaongelea akina Ibrahim,Isahaka,Musa ,Daudi kisa na wakristo wana watambua kama manabii?
Akina Ibrahim, Daudi na Daniel tukiwaongelea bado mtaleta vurugu. Injili hamuitambui, na Yesu mnamuongelea kiislam sio kweli kama mnatambua. Yesu alishiriki meza ya Bwana. Yesu alimzumgumzia Roho mtakatifu. Yesu alikufa msalabani. Yote haya hamuyakubali.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Muhammad anatikiwa afaninishwe na akina mtume Petro au Paulo

Muhammad siyo wa kumlinganisha na YESU KRISTO ni dhambi kubwa sana na mtakuja kuilipia
Yesu (alayhi salaam) aliomba dua awe muumin kwenye uma huu wa mtume muhamad (peace be upon him) na Allah (the almighty ) akamjibia dua yake si yeye tu mitume woote waliopita walitamani kuwa sehemu ya umma huu .
 
Mkuu tafadhali peleka hoja nzito nzito uthibutishe ksamba jamaa yupo unga au unafurahia jinsi hoja zake nyepesi zinavyowasilimisha wakristo wenzako 🤣😂😂
Anayesilimu hajasoma Quran. Ni maamuma asiyejua chochote. Tutaichambua Quran, sawa na muislam alivyo huru kuichambua Biblia, ndiyo maana waislam wanaritadi kwa maelfu
 
Akina Ibrahim, Daudi na Daniel tukiwaongelea bado mtaleta vurugu. Injili hamuitambui, na Yesu mnamuongelea kiislam sio kweli kama mnatambua. Yesu alishiriki meza ya Bwana. Yesu alimzumgumzia Roho mtakatifu. Yesu alikufa msalabani. Yote haya hamuyakubali.
Oh! Unataka mitume waongelewe kikristo ? Mmewaongelea vipi zaidi ya kuwatukana na kuwadhalilisha ? Kuna waliotembea na watoto wao wa kuwazaa, kuna waliotokana ni kizazi cha kahaba , kuna waliozini na wake wa rafiki zao, kuna waliokuwa wachawi, imefikia hatua Mungu wa biblia anatukana taifa zima anaita Malaya .

Dude hebu kaa chini kwanza usome kitabu chako kisha ukikielewa nina imani utakuwa ushakuwa muislamu , maana quran imewasifu na kuwapandisha darja mitume na wachamungu si kama biblia .
 
Anayesilimu hajasoma Quran. Ni maamuma asiyejua chochote. Tutaichambua Quran, sawa na muislam alivyo huru kuichambua Biblia, ndiyo maana waislam wanaritadi kwa maelfu

"Waislamu wanaritadi kwa maelfu" 😂😂😂 shushia kwanza maji mkuu sawa ? Hii itabaki kuwa ndoto ila jua hivi kwa kila muislamu mmoja anayeritadi nyuma yake kuna wakristo elfu kumi wanasilimu just angalia dini inayokuwa kwa kasi zaidi duniani ulete hapa hizo data just few google searches.

Halafu kwenye mdahalo wa jamaa unaruhusiwa kuichambua biblia kama ulivyosema ndiyo maana ninataraji uende pale ukiwa na hoja zako hizo 😂 Nasubiri kwa hamu mkuu .
 
Jesus au Yesu kristo ni tofauti kabisa na mtume wao wanaomtambua kama Issa bin Marium. Wao wamulinganishe huyo na mtume Mohamed
Mkuu kinachoangaliwa nadhani ni kile kinachokusudiwa japo kukawa na utofauti wa maelezo, mfano waislamu huwaelezea majini kama ni viumbe tofauti na malaika na binaadamu ila wakristo wanapozungumzia malaika waliyoasi hukusudia majini.
 
Huyo mhindi hajui Yesu ni Mungu hadi amshindanishe na Mohammad?
Amechoma nauli bure.
 
Oh! Unataka mitume waongelewe kikristo ? Mmewaongelea vipi zaidi ya kuwatukana na kuwadhalilisha ? Kuna waliotembea na watoto wao wa kuwazaa, kuna waliotokana ni kizazi cha kahaba , kuna waliozini na wake wa rafiki zao, kuna waliokuwa wachawi, imefikia hatua Mungu wa biblia anatukana taifa zima anaita Malaya .

Dude hebu kaa chini kwanza usome kitabu chako kisha ukikielewa nina imani utakuwa ushakuwa muislamu , maana quran imewasifu na kuwapandisha darja mitume na wachamungu si kama biblia .
Ustaarabu, tuelimishane. Dude au nini hainisaidii. Nikikuambia makosa ya Quran uwe mpole. Kuzaa na watoto au maovu yote yaliyoandikwa katika Biblia yameandikwa kutuonya na sio kuunga mkono uovu. Nionyeshe fungu linalounga mkono uchafu.
 
😂😂 sijataja taja tu hayo yote kwa kuropoka nina aya specific zinazopoint hayo yote vipi unataka nikuwekee ? Nasubiri jibu lako
 
Back
Top Bottom