Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

Uchambuzi kuntu sana! Hongera.

Hakuna Bunge pale.

Hopefully, Mh Rais ameona mwenyewe; sasa mpira uko kwake.
 
Tatizo ni waliowaweka hao wabunge

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mibunge ya ccm ni bonge la mipuyangaji ,ona Sasa imeuza na nchi,nitakushangaa Sana mtanzania wewe unayeshobokea mijitu ya kuvaa minguo ya kijani isiyokuwa na chembe ya utu hata kidogo kwenye Raslimali za nchi mijitu hii yenyewe ni kuuza uza tu Kila kitu hakuna chembe ya uwajibikaji ovyo Sana hii
 
Wangeuza na bandari za Zanzibar watu wasingelalamika
 
Kwani serikali yenu nyinyi watanganyika sio ndio hiyo ya Muungano au vipi
 
..kuwe na usawa ktk muungano.

..kama ni sahihi kuwa na kitambulisho cha Mzanzibari basi Watanganyika na sisi tupewe haki hiyo.

..kama Zanzibar wana serikali na Raisi wao, Watanganyika nao wapewe serikali na Raisi wao.
Tanganyika imeva koti la muungano serikali yenu ya tanganyika imo humo humo kwenye serikali ya Muungano wewe angalia vizuri tu utaiyona
 
Wew mpu...mbavu Mbowe anajua nini na amechukua hatua gani? Acha kuzungumza Mambo yanayowagawa watu,
 
Bunge la CCM halina uwezo wa kutafakari kwa kina wanayoyapitisha bungeni. They lack social inference knowledge, that helps to determine the aftermath of what they will approve
 
Unategemea nini Bunge kuwategemea watu kama Musukuma, Kibajaji, and the like kuwa ndiyo brain ya Serikali.
Hizo biashara za huyo kijana ni za kishirikina tu. Makafara. Asiwatishe hana lolote.
 
Huyu Mama kama anautaka Urais kilaini 2025 asimame na Wananchi tu. Binafsi naamini anapotoshwa na wasaidizi wake wa karibu ili wapate sababu ya kum-distabilize, achukiwe na wananchi. Wanautaka urais kwa udi na uvumba. Hata huyo wa tatu kutoka kwake ambitions zake ni kuwa rais, na wengine wale waliogombea '20, wanautaka. Hawakupenda Mama huyu awe Rais ni katiba tu ilimwokoa. Kila anachofanya huyu Mama kwa chini chini wana ki-soil. Chezea wajasiriasiasa wewe!
Hata hizi pesa za wanawake wenzie alizoshauriwa zipitie CRDB mizengwe imeanza; kila sehemu ni fujo fujo fujo, almradi kumharibia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…