masterplanner
JF-Expert Member
- Oct 23, 2015
- 268
- 342
Naona imepanda kimya kimya, wameona noma makelele ya raia, wakaamua kupandisha kimya kimya. Yaan makato ya transactions kwa kutumia credit card mtoa huduma anakukata Tsh 1000, serikali inakukata Tsh 5000, yaani inapenda kodi rahisi sana hii serikali ya mama samia.