KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 1500.00
TOTAL 2,000.00 23/06/24 11:21
Nchi masikini kodi 18% hapo hapo wana ushuru wa forodha 25% kwa jinsi wanavyoiba pesa za Wananchi wangekua wanaona aibu hata kutangaza maana vitu kama Gesi walizogawa nje au bandari hautasikia wala kujua zimechangia kiasi gani kama sio hizi hela za kuiba kwenye Account za watu..
 
Ni kweli ndio maana wanakata umeme wakisema kuna marekebisho kwenye mfumo😀😀😀
 
Nchi masikini kodi 18% hapo hapo wana ushuru wa forodha 25% kwa jinsi wanavyoiba pesa za Wananchi wangekua wanaona aibu hata kutangaza maana vitu kama Gesi walizogawa nje au bandari hautasikia wala kujua zimechangia kiasi gani kama sio hizi hela za kuiba kwenye Account za watu..
Bila wananchi kuamka toka usingizini umaskini utaendelea kutamalaki kizazi na kizazi
 
Hii Hapo mkuu
Nakuongeza Zote..
Inapotungwa Financil bills Huwa inafanya Ammendments ya Baadhi ya Sheria zingine za Nyuma sasa Unatakiwa kuwa makini Kujua Ni sheria ipi Imekuwa Amended na Kipi kitaenda Kuathirika na Amendments ya Sheria hiyo na Ipi Hasa Kanuni itafuata baada ya Amendments
 

Attachments

Uko in love sasa na mimi, unanifuatilia maoni yangu huru kila ninapochangia, wakati sitambuwi hata uwepo wako hapa JF.

Angalia hizi tabia za kushobokea wanaume utakuja kubanduliwa, usinizowee. Fancu

Uko in love sasa na mimi, unanifuatilia maoni yangu huru kila ninapochangia, wakati sitambuwi hata uwepo wako hapa JF.

Angalia hizi tabia za kushobokea wanaume utakuja kubanduliwa, usinizowee. Fanculo.
Uneona ulivyo chizi ! Kama umeweza kuiona comment yangu na Mimi niliweza kuiona yako labda kama unatafuta kufirw@.
 
Habari Wana JF,

Ivi ni kwangu tu au Maana juzi nimenunua umeme lakini nashangaa makato ni 2000 badala ya 1500 naombeni kukuuliza ili kama nimeibiwa nijue Nini cha kufanya wakuu.

Ahsanteni.
wapandishe tu hadi ifike elfu kumi
tumeipenda wenyewe dadaaaa, chaguo letu milele dadadaaa
tumepokea tshirt na kofia na chumvi
 
Ukiwa kwenye nchi ambayo viongozi na wasomi wenye wajibu wakuwasemea wananchi ili mambo yaende wanatumia muda wao kusifia na kupongeza wakati kiuhalisia hali haiko hivyo jua uko kwenye nchi yenye shida kubwa.Muda utakuja kuonyesha badae.
 
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.

Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?

Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?

Hali hii itaendelea mpaka lini?

View attachment 3030797
======
View attachment 3030953
Muda wa bajeti ikisomwa watu wapo busy na akina diamond na hamisa mobeto plus msigwa unatarajia nani akusomee bajeti na kuitolea maoni na kuipigania? Bajeti ikishapita ndio tunaanza kupiga kelele. Watanzania tuna kazi sana bado.

Anyway wacha tuumie labda mwakani tutapata fundisho if at all itatuumiza zaidi otherwise kwa sisi wabongo hatuna jipya zaidi ya kulalamika mwishowe tunalipa tu.
 
Back
Top Bottom