masterplanner
JF-Expert Member
- Oct 23, 2015
- 268
- 342
Hahahaaa! ww jamaa umenichekesha sana, yaan hatuko serious kabisa na mambo ya msingi, sijui ni viumbe wa aina gani sisi.Matanzania hata waongeze sukari kg 1 iwe 10000 yanalialia mtandao yakija ishu ya chama tu kwenda yanga yamesahau matanzania yote mambumbumbu
Inayoongozwa na tapeli.Tuna serikali ya kitapeli sn
Wewe ni PhD mpumbavu kila taarifa ikiletwa hapa jukwaani lazima ukosoe lipumbavu kabla ya kujithibitishia wewe mwenyewe kwanza..Mwezi wa 6 ulinunuwa umeme? Isije kuwa unadaiwa kodi ya miezi miwili.
Uko in love sasa na mimi, unanifuatilia maoni yangu huru kila ninapochangia, wakati sitambuwi hata uwepo wako hapa JF.Wewe ni PhD mpumbavu kila taarifa ikiletwa hapa jukwaani lazima ukosoe lipumbavu kabla ya kujithibitishia wewe mwenyewe kwanza..
Taarifa ya sativa ulikurupuka na kusema labda alikuwa na mke wa mtu. Mtu kaanzisha mada inahusu kupanda tozo kwenye luku unaleta argument ya lipumbavu eti deni la miezi miwili wakati awali ilikuwa ni 1,500/- itakuwaje deni la miezi miwili ile 2000/-?
Badilika mzee watu kama nyie mnaishushia heshima jf.
Hii ni changamoto sana kwetu watanzania, watawala wanajua hata wakifanya ujinga kiasi gani hatutawafanya chochote kile.Matanzania hata waongeze sukari kg 1 iwe 10000 yanalialia mtandao yakija ishu ya chama tu kwenda yanga yamesahau matanzania yote mambumbumbu
Huyo hana PhD yoyote ile, ni ID anatumia humu JF tu.Wewe ni PhD mpumbavu kila taarifa ikiletwa hapa jukwaani lazima ukosoe lipumbavu kabla ya kujithibitishia wewe mwenyewe kwanza..
Taarifa ya sativa ulikurupuka na kusema labda alikuwa na mke wa mtu. Mtu kaanzisha mada inahusu kupanda tozo kwenye luku unaleta argument ya lipumbavu eti deni la miezi miwili wakati awali ilikuwa ni 1,500/- itakuwaje deni la miezi miwili ile 2000/-?
Badilika mzee watu kama nyie mnaishushia heshima jf.
Dah! li nchi la ajabu hili.Ni elfu 2000 kweli aisee.
View attachment 3030835
Hii nchi hata bilaa Hizo bajeti sijui financial bill unafanya lolote unalotaka...Elimu zaidi Inahitajika Kwenye Kusoma Financial Bill..
Na Tanzania Elimu Hiyo hatuna..
Unajua Vizuri Kuisoma Financial Bill Tuanzie Hapo kwanza?
Nchi ni nzuri sana ila sasa Wananchi wake ni mazuzuu..Dah! li nchi la ajabu hili.
Ya ajabu sana kwa kweliTuna serikali ya kitapeli sn
Sisi ni Mazuzuzuuuuuuuuuu....Nchi ni nzuri sana ila sasa Wananchi wake ni mazuzuu..
Hapa unathibitisha ujinga uliowajaa Watanzania, unaacha kuhangaika na kina Mwigulu Nchemba unateseka na ID ya mtu ambaye hakujui na hamjawahi kuonana popote still unajifanya unamjuwa wakati mimi sikujui.Huyo hana PhD yoyote ile, ni ID anatumia humu JF tu.
miezi miwili ndio wakate buku mbili?Mwezi wa 6 ulinunuwa umeme? Isije kuwa unadaiwa kodi ya miezi miwili.
Hii Hapo mkuuElimu zaidi Inahitajika Kwenye Kusoma Financial Bill..
Na Tanzania Elimu Hiyo hatuna..
Unajua Vizuri Kuisoma Financial Bill Tuanzie Hapo kwanza?
Ndio kitu ghani hicho? Kwanza niseme sijui hio bill inapatikana wap?Elimu zaidi Inahitajika Kwenye Kusoma Financial Bill..
Na Tanzania Elimu Hiyo hatuna..
Unajua Vizuri Kuisoma Financial Bill Tuanzie Hapo kwanza?
Huyo sio smart ni kilaza tu kama vilaza wengine.Halafu leo anatokea mtu smart kama Msigwa anakwenda kuungana na genge la waporaji, inashangaza sana.
Omoondii.Ndio kitu ghani hicho? Kwanza niseme sijui hio bill inapatikana wap?