Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nchi masikini kodi 18% hapo hapo wana ushuru wa forodha 25% kwa jinsi wanavyoiba pesa za Wananchi wangekua wanaona aibu hata kutangaza maana vitu kama Gesi walizogawa nje au bandari hautasikia wala kujua zimechangia kiasi gani kama sio hizi hela za kuiba kwenye Account za watu..Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 1500.00
TOTAL 2,000.00 23/06/24 11:21
Wamepanga ifike elfu 5Habari Wana JF,
Ivi ni kwangu tu au Maana juzi nimenunua umeme lakini nashangaa makato ni 2000 badala ya 1500 naombeni kukuuliza ili kama nimeibiwa nijue Nini cha kufanya wakuu.
Ahsanteni.
Uliona wapi? Mzandiki wewe!Wamepanga ifike elfu 5
Hapana Wanaficha Vingi kwenye Financial Bills na wanajua raia Hawasomi Kwahyo vyote vimo humoHii nchi hata bilaa Hizo bajeti sijui financial bill unafanya lolote unalotaka...
Naijua vizuriHii Hapo mkuu
Bila wananchi kuamka toka usingizini umaskini utaendelea kutamalaki kizazi na kizaziNchi masikini kodi 18% hapo hapo wana ushuru wa forodha 25% kwa jinsi wanavyoiba pesa za Wananchi wangekua wanaona aibu hata kutangaza maana vitu kama Gesi walizogawa nje au bandari hautasikia wala kujua zimechangia kiasi gani kama sio hizi hela za kuiba kwenye Account za watu..
Nakuongeza Zote..Hii Hapo mkuu
Uko in love sasa na mimi, unanifuatilia maoni yangu huru kila ninapochangia, wakati sitambuwi hata uwepo wako hapa JF.
Angalia hizi tabia za kushobokea wanaume utakuja kubanduliwa, usinizowee. Fancu
Uneona ulivyo chizi ! Kama umeweza kuiona comment yangu na Mimi niliweza kuiona yako labda kama unatafuta kufirw@.Uko in love sasa na mimi, unanifuatilia maoni yangu huru kila ninapochangia, wakati sitambuwi hata uwepo wako hapa JF.
Angalia hizi tabia za kushobokea wanaume utakuja kubanduliwa, usinizowee. Fanculo.
Wale ni watoto pendwa.Watanzania wanaelewa chochote kinachoendelea au walidhani Wakenya hawajui wanachopinga?
Kuna haja ya kuzaliana na Wakenya tuchanganye damu tukifute kizazi cha mazezeta.
Wazanzibar nao wanakatwa hivihivi?
Halina akili linasema 2000 labda itakuwa ni deni la miezi miwili wakati . Kivipi? Wakati ilikuwa 1500 kwa mwezi?Huyo hana PhD yoyote ile, ni ID anatumia humu JF tu.
Comment ya kibabe sana hii..FAIDA YA UJINGA NI MAUMIVU. UJINGA UTAKAPOTUTOKA NDIPO MAUMIVU YATAKWISHA
wapandishe tu hadi ifike elfu kumiHabari Wana JF,
Ivi ni kwangu tu au Maana juzi nimenunua umeme lakini nashangaa makato ni 2000 badala ya 1500 naombeni kukuuliza ili kama nimeibiwa nijue Nini cha kufanya wakuu.
Ahsanteni.
Muda wa bajeti ikisomwa watu wapo busy na akina diamond na hamisa mobeto plus msigwa unatarajia nani akusomee bajeti na kuitolea maoni na kuipigania? Bajeti ikishapita ndio tunaanza kupiga kelele. Watanzania tuna kazi sana bado.Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?
Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?
Hali hii itaendelea mpaka lini?
View attachment 3030797
======
View attachment 3030953
ModeratorUneona ulivyo chizi ! Kama umeweza kuiona comment yangu na Mimi niliweza kuiona yako labda kama unatafuta kufirw@.
Basi wewe tuoneshe wapi Kuna ongezeko la hiyo pesa.Elimu zaidi Inahitajika Kwenye Kusoma Financial Bill..
Na Tanzania Elimu Hiyo hatuna..
Unajua Vizuri Kuisoma Financial Bill Tuanzie Hapo kwanza?
Kuna wenye kulipa 15,000/month, na zingine ni 15,000/metre number.wapandishe tu hadi ifike elfu kumi
tumeipenda wenyewe dadaaaa, chaguo letu milele dadadaaa
tumepokea tshirt na kofia na chumvi