KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nikiwa miongoni mwa wanaouchukia uongozi huu unaomlimbikizia kodi na tozo mwananchi mlala hoi,

Juzi tena CCM wameongeza petrol kwenye moto wa kifuu kwa kuongeza tozo ya luku kwa mlala hoi

Ni nani atampa kura kiongozi huyu?
Mtakufa navyo vijiba vya roho.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.

Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?

Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?

Hali hii itaendelea mpaka lini?

View attachment 3030797
======
View attachment 3030953
Aise hii mambo ni mbayaaa . Izo ela zinaenda wapii ! Aiseee daah
 
Na tuku
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.

Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?

Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?

Hali hii itaendelea mpaka lini?

View attachment 3030797
======
View attachment 3030953
Na tuikaa kimya watafika ad elfu kumi mazoea
 
Nilinunua umeme nikashangaa nimepewa units chache kuliko kawaida

Yaani tunaongozwa na tapeli tu
 
Nilishaapa na kuapa, kwenye huu mjengo wangu sitathubuthu kuweka umeme wa tanesco, najipanga ninunue solar panel kubwa 3 nisahau kabisa mambo ya kununua umeme. CCM nyau nyie
 
Tunaongozwa na utawala wa kitapeli, na wa kinyang'anyi tu

Ona dola inakaribia elfu 3 halafu kuna mazombi wanasema anaupiga mwingi

Hii serikali ni ya kitapeli na ya kishetani tu

Ni kichaa tu anaweza kuvumilia kuongozwa na hawa wahuni watupu

Sisi ni maiti tu ndo maana tumeridhika kuongozwa na ssh na genge lake la kihuni!!

Mimi.sijawahi kumuelewa huyu nyapara wa tz anafanya kazi gani pale jumba jeupe

Umeme sasahv tozo ni 24000 kwa mwaka

Shame on ssh watanzania tunakuchukia sana bora tungeongozwa na jini kutoka ikulu ila sio wewe you are a good for nothing

Kuna siku tz tutaamka kama GenZ wa kenya kumtimulia mbali huyu nyapara ssh kwa maandamano makubwa

Ni rais wa hovyo hapa duniani yeye na genge lake
 
Siku watawatatua marinda na mtakaa kimya
Mi nishahamia kenya
 
Back
Top Bottom