johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siasa ni sayansi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka jana waliongeza shilingi 500.Nikiwa miongoni mwa wanaouchukia uongozi huu unaomlimbikizia kodi na tozo mwananchi mlala hoi,
Juzi tena CCM wameongeza petrol kwenye moto wa kifuu kwa kuongeza tozo ya luku kwa mlala hoi
Ni nani atampa kura kiongozi huyu?
pamoja
Hahahaha 😂 😂 huwezi kuandamanaaa au siiooWanajua mwisho wa kulalamika kwetu ni kwenye hizi thread tu. 😭😭
Inauma sana sana!!Nikiwa miongoni mwa wanaouchukia uongozi huu unaomlimbikizia kodi na tozo mwananchi mlala hoi,
Juzi tena CCM wameongeza petrol kwenye moto wa kifuu kwa kuongeza tozo ya luku kwa mlala hoi
Ni nani atampa kura kiongozi huyu?
Mtakufa navyo vijiba vya roho.Nikiwa miongoni mwa wanaouchukia uongozi huu unaomlimbikizia kodi na tozo mwananchi mlala hoi,

Aise hii mambo ni mbayaaa . Izo ela zinaenda wapii ! Aiseee daahKwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?
Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?
Hali hii itaendelea mpaka lini?
View attachment 3030797
======
View attachment 3030953
Na tuikaa kimya watafika ad elfu kumi mazoeaKwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?
Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?
Hali hii itaendelea mpaka lini?
View attachment 3030797
======
View attachment 3030953
Huyo yupo kiwango Cha zero tarrif.Sh 9000 unapata unit 57? Ni umeme upi huo? Zanzibar au Rea?
Vipi wewe utaishi milele shekhe?Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Kazi ya Mungu haina makosa.