Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam

Na wale wa umeme mfanye kweli basi maana 😂sio poa
 
Kwa mujibu wa kamisha wa miradi ya ubia PPP David Kafulira amesema kampuni ya EGN ya Dubai imeshinda Zabuni ya Kuendesha Mwendokasi awamu ya I na kwamba ikiwa itaonesha ufanisi inaweza pewa awamu zingine.
---

The Tanzanian government has reportedly awarded the tender to operate the Bus Rapid Transit (BRT) system in Dar es Salaam to a United Arab Emirates (UAE) company.

30 companies, including two from Tanzania, showed interest in the bid as the government sought private investors to partner with to improve efficiency and service delivery in the public transportation sector.

PPP Commissioner David Kafulila said the state-run Dar Rapid Transit (DART) will sign an agreement next month with Emirates National Group (ENG) for the Dubai firm to operate Phase 1 of the bus rapid transit.

It is also reported that ENG could be awarded more phases of the bus rapid transit system in Dar es Salaam if the first phase of its operations proves successful.

Dubai's ENG currently operates public transport services in the UAE and Egypt, with a fleet of more than 1,000 buses

The Citizen Tanzania

My Take
Zingepewa kampuni tofauti tofauti za Kuendesha Mwendokasi Ili kuleta jiza zaidi.
 
Ni Dubai tena? ila wako vizuri na matreni yao yale ya mwendokasi kule dubai.labda watafanikiwa kuleta tija kwenye usafiri.

Maana huduma ya mwendokasi haiendani na uwekezaji uliofanywa kwenye miundombinu yake hasa barabara.
 
Safi ,ilimradi waweke ufanisi.
 
BINADAMU WOTE NI NDUGU ZANGU NA AFRIKA NI MOJA!

NDUGU ZETU WA MATAIFA MENGINE WAKIJA KWETU NA KUSHIRIKIANA NA SISI KULETA MAENDELEO HILO NI JAMBO JEMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…