Hivi mtwara si ndo kuna gesi na bahari? Kwa nni inazidiwa uchumi na MAENDELEO na jiji la Mwanza lenye ziwa na milima tu? R.I.P wote waliouliwa wakati wa vuguvugu la kuzuia gesi isitoke Mtwara. Ntwara kuchereee
We thubutuuuu! Mradi wa kununua wapinzani na kugaramia kampeni chafu ulikuwa na garama yake.Nakumbuka tuliambiwa wakulima wote wa korosho wameshalipwa?
19 Jul 2020
Mtwara, Tanzania
Serikali imetoa shilling bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho. "Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara na Kibiti kwa ajili ya waliokuwa wamelipwa nusu, waliolipwa kiasi na wasiolipwa kabisa. Fedha hizi zitaanza kulipwa kesho asubuhi," Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa kauli hii leo (Jumapili, Julai 19, 2020) wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Msingi (AMCOS) cha Matogoro na wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara alikoenda kuhamasisha maandalizi ya msimu wa ununuzi wa korosho.
Source : Azam TV
Kama RAIS ndiye katoa hizo bilion 20,
Hakika hiyo ni RUSHWA kwa Wakulima na Wadau wa KOROSHO.
Kwa nini iwe kipindi hiki cha kuelekea UCHAGUZI?
TAKUKURU, POLISI, TUME YA UCHAGUZI NA MSAJIL WA VYAMA VYA SIASA MKO WAPI?
Hiyo tunaiita MEMBE impact.19 Jul 2020
Mtwara, Tanzania
Serikali imetoa shilling bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho. "Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara na Kibiti kwa ajili ya waliokuwa wamelipwa nusu, waliolipwa kiasi na wasiolipwa kabisa. Fedha hizi zitaanza kulipwa kesho asubuhi," Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa kauli hii leo (Jumapili, Julai 19, 2020) wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Msingi (AMCOS) cha Matogoro na wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara alikoenda kuhamasisha maandalizi ya msimu wa ununuzi wa korosho.
Source : Azam TV
Ina maana zile habari kwamba hawa jamaa bado walikuwa wanadaiwa pesa za korosho kumbe zilikuwa za kweli!!!
Kama si Membe, Majaaliwa asingerudi bungeni kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 manake jamaa alikaliwa vibaya ile mbaya! Kwenye jimbo la Ruangwa, kuna kata inaitwa Mandawa; nadhani ndio au moja ya kata kubwa kabisa kwenye jimbo la Ruangwa!Asante wa kunyumba Bernard Membe joto la uchaguzi lapanda huko kusini, Waziri Mkuu apiga kambi na serikali ya CCM Mpya inakumbuka shuka dakika za lala salama wakati tayari wananchi wamesema Twende Membe Twende 2020
Muungano wa Upinzani umeleta hofu kubwa CCM Mpya
Seriously, mimi nilikuwa naamini was just a political game, na ndipo hapa nakumbuka yale ambayo tuliongea sana hapa JF siku Magufuli anatangaza serikali kununua korosho!!!Zilikuwa ni za kweli tupu, na waandishi wa habari waliokuwa wanaandika hayo mambo walikuwa wanatishiwa vibaya sana.
Aisee watu wamekua wapuuzi sn utafikiri kauza mifugo chattle ndo ametoa hizo hela ni kujipendekeza tuSERIKALI IMETOA*
Jpm hana hizo pesa..
Seriously, mimi nilikuwa naamini was just a political game, na ndipo hapa nakumbuka yale ambayo tuliongea sana hapa JF siku Magufuli anatangaza serikali kununua korosho!!!
Na kuna uwezekano mkubwa serikali iliuza kwa hasara zile korosho, na tena kama waliuza zote basi manake hawa jamaa kwa mbwembwe, angekuwa amepatikana potential buyer, kungewekwa hadi kipindi maalumu pale TBC!!
Hilo la kusema nyingi zilioza, nakubaliana na wewe kwa sababu hata wakati ule tulisema hapa kwamba, msimu wa korosho kwa nchi za Asia, umekaribia sana, huku Afrika Magharibi wakiwa njiani kufika kipindi cha mavuno, kwahiyo za kwetu lazima zikutie msimu!! Tena hawa jamaa wasiwe wamegawa jeshini wakazitafune huko!!!!Ile biashara iliharibika kabisa, na korosho nyingi ziliooza. Siku Magufuli anatoka madarakani mambo mengi yatakuwa wazi.
Labda wale walioshindwa kuonyesha mashamba waliyolimia korosho nw wasio na account bankMpwa itakua fitna tu za kumchafua Mwenyekiti wetu, taarifa zipo wazi kabisa kuwa walishalipwa na kwamba ambaye hajalipwa ni wale waliokua na madeni feki
Tukukuru na polisi ni jumuia za CCMKama RAIS ndiye katoa hizo bilion 20,
Hakika hiyo ni RUSHWA kwa Wakulima na Wadau wa KOROSHO.
Kwa nini iwe kipindi hiki cha kuelekea UCHAGUZI?
TAKUKURU, POLISI, TUME YA UCHAGUZI NA MSAJIL WA VYAMA VYA SIASA MKO WAPI?
Hilo la kusema nyingi zilioza, nakubaliana na wewe kwa sababu hata wakati ule tulisema hapa kwamba, msimu wa korosho kwa nchi za Asia, umekaribia sana, huku Afrika Magharibi wakiwa njiani kufika kipindi cha mavuno, kwahiyo za kwetu lazima zikutie msimu!! Tena hawa jamaa wasiwe wamegawa jeshini wakazitafune huko!!!!