Serikali Imlinde huyu mtu wa Wivu Mkubwa sana. Wazungu wanaweza Mwiba

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao.

Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na Marekani.

Nashangaa serikali yetu inakumbatia akina Babu Tale, Musukuma, Mwigulu,Bashe inaacha huyu jamaa ambaye ana IQ kubwa sana Duniani.

Nashauri Moderator na Maxence Melo mumlinde huyu Bilionea ni hazina kwa Taifa na Dunia. Atunzwe vizuri na pia mhakikishe watu hawamdhuru kisaikolojia kwa matusi na dhihaka. Anatupa matumaini makubwa sana.

Nimekuwa nikimsoma na kuona mara nyingi akitoa mwanga palipo na giza na kama serikali itafuata mawazo yake tutafika mbali sana. Nashauri pia JF muangalie namna ya kumtumia mtu kama huyu.
 
Bado najiulizaga JF kwanini ndio kiimbilio la asilimia kubwa ya wagonjwa wa akili., mada zisizo na kichwa Wala miguu .. JF ya zamani ya madini critical thinking issues hakuna tena
 
Inasikitisha.
 
Mbona mimi ni hazina kuu na sisikilizwi 😁😁 na amini huyo bill lugano amiliki hata asilimia 2% ya ubongo wangu...😁😁😁 na hakuna professor tz anaye weza kumiliki japo asilimia 4 ya akili ninazo miliki...kama hapa jamii forum yote kuna mtu mmoja tu mwenye akili kubwa ambaye kwa ujiniasi wangu nimeweza kumtambu ni mmoja tu.
 
Bado najiulizaga JF kwanini ndio kiimbilio la asilimia kubwa ya wagonjwa wa akili., mada zisizo na kichwa Wala miguu .. JF ya zamani ya madini critical thinking issues hakuna tena
All work with no play makes Jack a Dull Boy...,

Labda useme tatizo sio huku kwenye play watu kuendelea matani na kufurahia bali kule tunakotegemea critical thinking watu kuendelea uchawa na upuuzi..., Kwa hili hii ni mahala pake ingawa kule ndio kumejaa upupu

Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao.

Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na Marekani.

Nashangaa serikali yetu inakumbatia akina Babu Tale, Musukuma, Mwigulu,Bashe inaacha huyu jamaa ambaye ana IQ kubwa sana Duniani.

Nashauri Moderator na Maxence Melo mumlinde huyu Bilionea ni hazina kwa Taifa na Dunia. Atunzwe vizuri na pia mhakikishe watu hawamdhuru kisaikolojia kwa matusi na dhihaka. Anatupa matumaini makubwa sana.

Nimekuwa nikimsoma na kuona mara nyingi akitoa mwanga palipo na giza na kama serikali itafuata mawazo yake tutafika mbali sana. Nashauri pia JF muangalie namna ya kumtumia mtu kama huyu.
Yuko wapi
 
Bado najiulizaga JF kwanini ndio kiimbilio la asilimia kubwa ya wagonjwa wa akili., mada zisizo na kichwa Wala miguu .. JF ya zamani ya madini critical thinking issues hakuna tena
Sasa si ungeleta hizo critical issues? Unataka akuletee nani? Unapolalamika kwa issue kama hiyo unaonesha una matatizo ya akili halafu hujielewi. JF ina Forums nyingi sana dogo. Chagua unayoona inakufaa. Usilete msongo wako wa mawazo kwa wenzio acha wa enjoy kwa namna yao. Afya ya akili is real. Yaani unalalamika kwa issues ambazo mwenye akili anaamua ale nini na wapi katika jamiiforums.
 
All work with no play makes Jack a Dull Boy...,

Labda useme tatizo sio huku kwenye play watu kuendelea matani na kufurahia bali kule tunakotegemea critical thinking watu kuendelea uchawa na upuuzi..., Kwa hili hii ni mahala pake ingawa kule ndio kumejaa upupu

Huyo dogo ana stress. Analalamika kitu cha kipuuzi. Kuna majukwaa mengi humu JF ambayo mtu anatakiwa kuchagua ale nini na wapi. Sasa analalamika kwa jambo ambalo sioni kama ni issue. Pia sijamwona akileta hoja azisemazo kwenye forums husika. Ni jamii ile ile inayotumiwa na ma CCM ya kulalamika tu haichukui hatua.
 
Back
Top Bottom