Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Ikiwezekana awe Rais wa Tanzania au JF imwajiri. Ni Tajiri mstaarabu sana.Naunga hoja apewe madaraka π π π
Inasikitisha.Bado najiulizaga JF kwanini ndio kiimbilio la asilimia kubwa ya wagonjwa wa akili., mada zisizo na kichwa Wala miguu .. JF ya zamani ya madini critical thinking issues hakuna tena
Mbona mimi ni hazina kuu na sisikilizwi ππ na amini huyo bill lugano amiliki hata asilimia 2% ya ubongo wangu...πππ na hakuna professor tz anaye weza kumiliki japo asilimia 4 ya akili ninazo miliki...kama hapa jamii forum yote kuna mtu mmoja tu mwenye akili kubwa ambaye kwa ujiniasi wangu nimeweza kumtambu ni mmoja tu.Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao.
Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na Marekani.
Nashangaa serikali yetu inakumbatia akina Babu Tale, Musukuma, Mwigulu,Bashe inaacha huyu jamaa ambaye ana IQ kubwa sana Duniani.
Nashauri Moderator na Maxence Melo mumlinde huyu Bilionea ni hazina kwa Taifa na Dunia. Atunzwe vizuri na pia mhakikishe watu hawamdhuru kisaikolojia kwa matusi na dhihaka. Anatupa matumaini makubwa sana.
Nimekuwa nikimsoma na kuona mara nyingi akitoa mwanga palipo na giza na kama serikali itafuata mawazo yake tutafika mbali sana. Nashauri pia JF muangalie namna ya kumtumia mtu kama huyu.
All work with no play makes Jack a Dull Boy...,Bado najiulizaga JF kwanini ndio kiimbilio la asilimia kubwa ya wagonjwa wa akili., mada zisizo na kichwa Wala miguu .. JF ya zamani ya madini critical thinking issues hakuna tena
Yuko wapiNimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao.
Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na Marekani.
Nashangaa serikali yetu inakumbatia akina Babu Tale, Musukuma, Mwigulu,Bashe inaacha huyu jamaa ambaye ana IQ kubwa sana Duniani.
Nashauri Moderator na Maxence Melo mumlinde huyu Bilionea ni hazina kwa Taifa na Dunia. Atunzwe vizuri na pia mhakikishe watu hawamdhuru kisaikolojia kwa matusi na dhihaka. Anatupa matumaini makubwa sana.
Nimekuwa nikimsoma na kuona mara nyingi akitoa mwanga palipo na giza na kama serikali itafuata mawazo yake tutafika mbali sana. Nashauri pia JF muangalie namna ya kumtumia mtu kama huyu.
Sasa si ungeleta hizo critical issues? Unataka akuletee nani? Unapolalamika kwa issue kama hiyo unaonesha una matatizo ya akili halafu hujielewi. JF ina Forums nyingi sana dogo. Chagua unayoona inakufaa. Usilete msongo wako wa mawazo kwa wenzio acha wa enjoy kwa namna yao. Afya ya akili is real. Yaani unalalamika kwa issues ambazo mwenye akili anaamua ale nini na wapi katika jamiiforums.Bado najiulizaga JF kwanini ndio kiimbilio la asilimia kubwa ya wagonjwa wa akili., mada zisizo na kichwa Wala miguu .. JF ya zamani ya madini critical thinking issues hakuna tena
All work with no play makes Jack a Dull Boy...,
Labda useme tatizo sio huku kwenye play watu kuendelea matani na kufurahia bali kule tunakotegemea critical thinking watu kuendelea uchawa na upuuzi..., Kwa hili hii ni mahala pake ingawa kule ndio kumejaa upupu
This Discussing of People & Events is Mind Boggling
In the times of AI, Times of Technology, Times of Hardships and Out of Touch Politicians, Times of Environmental Threats, Times of Disproportionate division of wealthy, Times of Unemployment and Poverty....; Times of when the World has So Much and Yet some People have so Little. Yet we seem to...www.jamiiforums.com